Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo January 23 2016 kwenye Udaku, Hardnews na michezo
January 23 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu…
Ligi Kuu TZ imesimama, ila hii ndio burudani ya soka weekend hii mtu wangu, sio ya kukosa …
Mtu wangu wa nguvu mzunguuko wa kwanza wa Ligi Kuu soka Tanzania bara umemalizika, lakini haina maana kwamba weekend hii hakuna burudani ya soka, kuna michezo kadhaa ya Kombe la…
Kabla ya dirisha dogo la usajili kufungwa, hii ndio list ya mastaa waliosajiliwa Uingereza …
Mtu wangu wa nguvu kabla ya dirisha dogo la usajili la mwezi January halijafungwa kwa vilabu vya Ulaya, January 22 imenifikia ripoti ya vilabu vya Ligi Kuu Uingereza, list ya wachezaji…
VIDEO: Kamati ya Miss Tanzania inayoundwa na akina Jokate imejiondoa
Leo Jan 22 2016 Kamati ya Miss Tanzania ikiongozwa na akina Jokate Mwegelo ilikutana na waandishi wa habari na kutangaza kujitoa kwenye shindano hilo, sababu zote wamezieleza kwenye hii video hapa…
Hii ndio kauli ya kocha wa Man City baada ya kuulizwa kuhusu stori za Yaya Toure kuondoka Man City …
Baada ya wakala wa kiungo wa Man City Yaya Toure kuthibitisha kuwa mteja wake atakuwa tayari kusikiliza ofa kutoka klabu yoyote mwishoni mwa msimu, kitendo ambacho kinaashiria kuwa kiungo huyo…
Uchaguzi mkuu Zanzibar unarudiwa, mengine mawili haya hapa..
Taarifa imenifikia kutoka Visiwani Zanzibar ambako uchaguzi Mkuu ulifutwa kutokana na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha kutangaza kuwa ulikuwa na kasoro kadhaa hivyo akatangaza kufuta matokeo…
VideoMPYA: Mabibi na mabwana video ya ‘zigo remix’ ya Ay ft. Diamond ndio hii imetoka
Baada ya subira ya saa kadhaa baada ya watu kuisikiliza audio, mzigo wa video ndio huu umeachiwa tayari... ambapo pamoja na Ay na Diamond, ndani zimeonekana baadhi ya sura ambazo…
Zari kaamua kujibu kwa wanaomsema mitandaoni kwamba mtoto sio wa Diamond.. (+Audio)
Wiki hii inaisha huku kukiwa na stori kubwa zilizoanzia kwenye mitandao ya kijamii, majibizano yaliyofanya mpaka ishu ya watu kutaka DNA ya mtoto wa Diamond Platnumz na Zari iwekwe wazi…
REPEAT: Diamond alichojibu kuhusu stori za mtoto kuwa sio wake na watoto aliowakuta na Zari
Ni Exclusive Interview ya Millard Ayo na Diamond Platnumz ambaye ameongea kuhusu anachoona kinachoandikwa kuhusu yeye kutokuwa baba wa mtoto Tiffah, wanaosema kakosea kuwa mapenzini na Zari ambaye tayari ana…
Exclusive: Nahreel kuhusu maisha, anavyotoza studio kwake, Mkenya aliemkatalia, kazi za usiku studio na mengine
Nahreel ni producer kutoka kwenye kiwanda cha bongofleva ambaye mikono yake imehusika kwenye hits kama Don't bother ya Joh Makini na A.K.A , Zigo ya Ay na nyingine, alikutana na…