Yanga yatoa dozi kwa Maji Maji FC, huku Amissi Tambwe akiwamaliza kwa hat-trick (+Pichaz)
Baada ya watani zao wa jadi Simba January 20 kushuka dimbani kuvaana na JKT Ruvu katika mchezo wa 15 wa Ligi Kuu soka Tanzania bara na kuibuka na ushindi wa…
‘Zigo’ Remix ilivyotambulishwa hewani leo, collabo ya AY Feat. Daimond Platnumz.. (+Audio)
Najua masikio ya wengi yalikaa attention kusikia hii collabo ya wakali wawili, AY na Diamond Platnumz inakuja.. 'Zigo' remix, kazi imekamilika. AY kasema amefanya tayari mzigo wa video na leoleo itakuwa…
Victoria Kimani kaja na ‘All The Way’ Feat.Khuli Chana..Video
Staa wa Chocolate City Victoria Kimani amerudi kwenye headlines za burudani 2016 kwa kuachia ngoma ya single yake mpya 'All The Way' ndani akiwa kamshirikisha Khuli Chana. Karibu uitazame video…
Uteuzi anaofanya Rais Magufuli umemfikia mpaka mstaafu JK leo..
Alhamisi January 21 2016 ni siku nyingine ambayo Rais Magufuli kaendelea na moja ya majukumu yake kama Rais wa nchi, jukumu la leo ni kwamba kaendelea na uteuzi wa viongozi…
Exclusive: Diamond Platnumz amewaona wanaosema Tiffah sio mtoto wake, anasema nao hapa
Mwimbaji staa wa Tanzania Diamond Platnumz alikutana na mtangazaji wa AMPLIFAYA & Top 20 za CloudsFM Millard Ayo na kuzungumzia post na comments ambazo amekua akiziona zikisema mtoto sio wake…
TOP 10 ya usajili mbovu kuwahi kufanyika mwezi January (+Video)
Tukiwa bado katika dirisha dogo la usajili la mwezi January kwa vilabu vya soka barani Ulaya, nimekutana na list hii kutoka mtandao, list ya wachezaji kumi ambao waliwahi kusajili mwezi…
Licha ya kusuasua uwanjani, kumbe Man United bado wako pazuri sana kifedha.. Madrid je?
Klabu ya Real Madrid imeendelea kushika usukani kwa miaka 11 sasa katika kuingiza kiasi kikubwa cha pesa kupitia mapato yake...kwa msimu wa 2014/15 imeingiza kiasi cha Euro milioni 577. Real…
Chelsea inakaribia kumsajili staa huyu, Pedro anatajwa kuwa njiani kurudi FC Barcelona …
Stori kutoka katika mitandao mbalimbali barani Ulaya hususani Uingereza, imekuwa ikiripoti kwa karibu mpango wa Chelsea kutaka kusajili nyota wapya kikosi. Chelsea siku kadhaa nyuma ilikataliwa kumsajili kiungo wa Shakhtar Donetsk Alex…
Watumiaji wa simu Afrika ni wengi kuliko wanaopata maji salama ?? Umeme, barabara je?
Ishu kwenye healines inagusa Afrika ambapo ripoti ya utafiti wa Afrobarometer, ni ripoti ambayo CNN wameipandisha kwenye mtandao wao January 19 2016, ina majibu kuhusu ishu ya watu ambao wanapata huduma ya majisafi, wenye…
Hatua nyingine kwa staa wa tennis Andy Murray baada ya ushindi wa Australian Open..
Staa wa tennis duniani anayekamata nafasi ya pili kwa ubora Andy Murray amemshinda raia wa Australia Sam Groth na kufika raundi ya tatu ya mashindano ya tenisi ya Australian Open.…