Man City imekamilisha usajili wa kiungo huyu kutoka Australia..
Klabu ya Manchester United imefanya usajili wake wa kwanza kwa mwaka 2016 kwa kumpa mkataba kiungo Anthony Caceres kutoka klabu ya Central Coast Mariners iliyopo Australia ikiwa ni mkataba wa…
Kilichonifikia kuhusu ripoti ya matokeo ya kidato cha pili mwaka 2015
Moja ya ripoti kubwa siku ya leo inahusu ishu ya matokeo ya mtihani wa kidato cha pili uliofanyika mwaka 2015, matokeo yako tayari na inaonesha asilimia kubwa ya wanafunzi wamefaulu.…
Alivyovipata Stan Bakora ndani ya miezi yake 7 ya zile video za Whatsapp
Kutana na mchekeshaji Stan Bakora ambaye alianza kupata umaarufu kutokana na zile video zake za Whatsapp za kuchekesha zilizoanza kusambaa, sio muda mrefu ameanza kufanya comedy kwa kiwango hicho lakini…
Video na stori inayomuhusisha Wizkid kwenye ugomvi wa Club …
Usiku wa January 14 staa wa hit single ya Ojuelegba Wizkid aliingia kwenye headlines baada ya kuhudhuria party iliyoandaliwa na staa wa soka wa Nigeria Super Eagles Obafemi Martins. Staa huyo wa timu…
Joh Makini kwenye Hekaheka, akanaswa Posta kwa kulipa nauli ya mwanafunzi na hana kitambulisho.. (+Audio)
Watu wanatoka mbali mtu wangu, unaweza kumuona mtu kama Joh Makini kwenye mafanikio yake lakini safari yake haikuwa nyepesi, sasa kwenye zile pitapita aliwahi kukutana na noma ya kushtukiwa akitumia…
Ebola imerudi tena Sierra Leone..huu ndio uthibitisho wa maofisa afya!!
Jana shirika la Afya duniani WHO lilitangaza kumalizika kwa mlipuko wa ugonjwa wa Ebola huko Sierra Leone. Headlines zimerudi tena nchini humo baada ya maofisa wa afya kudhibitisha ugonjwa huo…
Stori za Magazeti ya Tanzania January 15 zilivyosomwa Redioni CloudsFM (+Audio)
Mzee Edward Lowassa amesema anajiandaa kwa uchaguzi 2020, mafuriko yaikumba Mwanza huku mtoto mmoja akifariki.... Tundu Lissu asema viatu vya nafasi ya Dk. Slaa ni vikubwa CHADEMA, CUF wasema wanaheshimu…
Kama ni mpenda soka, zisikupite mechi hizi kali za weekend hii …
Baada ya kusimama kwa Ligi Kuu soka Tanzania bara kwa zaidi ya siku 10, weekend ya January 16 na 17 inaendelea kama kawaida kwa michezo nane kupigwa, lakini hii sio michezo…
Utata wa Mabasi ya mwendokasi, Lowassa na Urais 2020, mahudhurio kazini kielektroniki..#MAGAZETINI
MTANZANIA Aliyekuwa mgombea urais kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ambaye aliungwa mkono na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Edward Lowassa, amesema anajipanga upya kushinda urais…
Top 10 news tweets kutoka Magazeti ya Tanzania leo January 15 2016..
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa…