Waziri atoa saa 48 kwa RC Mwanza, Jk na Samatta, Serikali yafuta umiliki wa mashamba..#MAGAZETINI
MWANANCHI Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jakaya Kikwete amempongeza mwanasoka bora wa Afrika, Mbwana Samatta kwa mafanikio aliyopata na sasa amemtaka alenge kucheza ligi kubwa za Ulaya ili Watanzania…
Zisome pamoja #TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 9 ya Tanzania January 12, 2016
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa…
Urais wa Shein Z’bar? ya Maalim Seif? Magufuli hospitali kwa Sumaye? Msiba wa Mbunge.. #Uchambuzi
Hii ni sehemu ya uchambuzi wa stori kubwa kwenye kurasa za Magazetini uliofanya redioni Clouds FM wakati Powerbreakfast ikiwa #OnAIR. Rais wa Zanzibar Dk. Shein leo ataongoza watu mbalimbali kwenye…
#StoriMAGAZETINI January 12 2016 Tanzania, Udaku, Hardnews na Michezo kuna hizi leo
Good Morning mtu wangu !! January 12 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenyeMagazeti 16 ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu..…
Hiki ndio kinachomtia hasira Louis van Gaal ndani ya Man United …
Kocha ambaye bado anatajwa kuwa siku zake zinahesabika kuendelea kusalia ndani ya Man United Louis van Gaal, amerudi kwenye headlines na kauli ambayo huenda imewashangaza wengi. Louis van Gaal amekuwa…
Siku moja baada ya kutolewa Kombe la Mapinduzi, Simba wameamua hivi kuhusu kocha wao Kerr …
Uongozi wa klabu ya Simba usiku wa January 11 kuingia 12 unatajwa kufanya maamuzi magumu, kutokana na mwendo wa timu yao kwa sasa, stori kutoka mtandao wa mwandishi na mchambuzi…
Nimekutana na list ya majina ya utani ya Lionel Messi, Robben, Torres, Ribery na Kroos …
Mtu wangu wa nguvu January 12 katika pitapita zangu mtandaoni nikakutana na list ya majina ya utani ya mastaa watano wa soka. Katika maisha kila mmoja anaweza akawa na jina…
List ya washindi wa tuzo za Dunia, Ballon d’Or, goli bora la mwaka na kocha bora vyote vipo hapa …
January 11 ndio ilikuwa siku ya shirikisho la soka ulimwenguni FIFA kutangaza washindi wa tuzo kadhaa ikiwemo tuzo ya mchezaji bora wa Dunia ambayo ilikuwa inawaniwa na Lionel Messi, Neymar…
Diamond Platnumz katembeza fleva kwenye ngoma ya Akothee wa Kenya, hiki ni kipande tu- ‘Sweet Love’ (+Video)
Diamond Platnumz ni jina la staa wa Kitanzania anayefanya poa kulibeba jina la Tanzania kwenye vichwa vya habari vya kimataifa kupitia kazi ya muziki mzuri anaoufanya. Kapata nafasi kuweka fleva…
Mbwana Samatta kaanza maandalizi ya kuelekea KRC Genk ya Ubelgiji na tuzo yake (+Pichaz)
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mbwana Samatta bado yupo kwenye headlines January 11, Samatta January 11 alikutana na Rais…