Cheki Video ya magoli na mikwaju ya penati ya mchezo wa nusu fainali, Yanga Vs URA Mapinduzi cup 2016
Usiku wa January 10 katika dimba la Amaan visiwani Zanzibar ulipigwa mchezo wa pili wa nusu fainali kwa kuzikutanisha timu za Dar Es Salaam Young African dhidi ya URA ya…
Yanga yaondolewa na URA ya Uganda nusu fainali, Alikiba jukwaani akishuhudia (+Pichaz)
Saa chache baada ya mchezo wa kwanza wa nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi kwa mwaka 2016 kumalizika, kwa klabu ya Mtibwa Sugar ya Manungu Turiani kuibuka na ushindi wa…
Waziri wa Afya mguu kwa mguu kwa kila mgonjwa Hospitali ya Mkoa Geita..(+Audio)
Weekend ya January 10 inakwenda kukamilika mtu wangu, lakini kabla hatujaikamilisha acha ni kusogezee hii ya Waziri wa Magufuli ambae kwenye hii kasi ya Hapa Kazi tu, hataki utani kazini…ni…
Maamuzi mapya ya Kocha wa Taifa Stars dhidi ya Mbwana Samatta siku mbili baada ya ushindi wa tuzo (+Audio)
Siku mbili baada ya mshambuliaji kimataifa wa Tanzania anayekipiga katika klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mbwana Samatta atangazwe na shirikisho la soka barani Afrika CAF…
Ibrahim Jeba kaipeleka Mtibwa Sugar fainali dhidi ya Simba, cheki pichaz na matokeo
Baada ya mapumziko ya siku moja kutokana na kukamilisha hatua ya Makundi ya michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa mwaka 2016, January 10 michuano ya Kombe la Mapinduzi iliendelea katika…
Staa wa Tennis duniani alivyouanza mwaka 2016 kwa ushindi huu wa Qatar Open..
Staa anayeshikilia namba moja katika mchezo wa tenis duniani kwa upande wa wanaume Novak Djokovic ameshinda taji lake la kwanza kwa mwaka huu baada ya kumshinda mpinzani wake Rafael Nadal…
Hii ndio habari ya Martial wa Man United inayoweza kuwagharimu wenye gazeti …
Gazeti la The Sun lilimuweka kwenye headlines mkali wa kucheka na nyavu wa Man United, baada ya kumuandika kuhusu stori za usaliti wa mapenzi. Mastaa wa soka huwa wanaingia kwenye…
Olamide kaja na hii ‘I Love Lagos’ Official Video…
Staa wa Nigeria Olamide amerudi kwenye headlines za burudani mwaka 2016 baada ya kuachia official Video yake mpya 'I Love Lagos'. Nakukaribisha hapa kuitazama.. https://www.youtube.com/watch?v=C2uyZVhWP8A Unataka kutumiwa MSG…
Ukimkosa Prezzo kwenye muziki ujue yuko huku na anaitwa Doctor Prezzo !!
Star wa muziki kutoka area code ya +254 kwa watu wa nguvu Kenya, rapper Prezzo japo hasikiki mara kwa mara lakini jina lake lipo kwenye majina ya wakali walioubeba muziki…
Wananchi wageuza viwavi jeshi kitoweo, Abdalah Bulembo vs Fatma Karume, Mahakama ya mafisadi..#MAGAZETINI
NIPASHE Askofu Mkuu Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Kardinali Polycarp Pengo, aliyekuwa amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kwa siku 10 akipatiwa matibabu, ameruhusiwa kuondoka…