January 9 2016 magazeti 16 ya Tanzania yameamka na hizi leo >> udaku, hardnews na michezo
Good Morning mtu wangu !! January 9 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti 20 ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea…
Picha 12 kutokea Airport Dar Mbwana Samatta alivyotua na tuzo yake
Jan 9 2016 mshindi wa tuzo ya mchezaji bora Afrika Mbwana Samatta alitua Dar na kupokewa na mashabiki zake kutokea maeneo mbalimbali ya jiji. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa…
Cheki video ya goli na sehemu ya mechi ya Simba Vs JKU, Full Time Simba 1-0 JKU …
Usiku wa January 8 klabu ya wekundu wa Msimbazi Simba iliimaliza michezo yake ya hatua ya makundi ya michuano ya Kombe la Mapinduzi 2016, kwa kuitembezea kichapo cha goli 1-0…
Hii ni kauli ya Yaya Toure, baada ya CAF kumpa tuzo Pierre-Emerick Aubameyang na sio yeye …
Mshambuliaji wa kimataifa Gabon ambaye anaichezea klabu ya Borussia Dortmund ya Ujerumani Pierre-Emerick Aubameyang ameingia kwenye headlines mara mbili tofauti. Headlines kubwa ya staa huyo ni juu ya ushindi wake wa…
Video ya ‘mbabe wa unga’ Mexico alivyonaswa na Polisi miezi 6 baada ya kutoboa Gereza..
Jamaa aliteka sana vichwa vya habari kubwa duniani, jina lake halisi ni Joaquin Guzman a.k.a 'El Chapo' ni jamaa ambaye ana kesi za kujihusisha na dawa za kulevya, kajikuta mikononi mwa…
Video ya livelive Shilole na Nuh Mziwanda wakizungumza baada ya kuachana
Najua kuna watu wangu wanapenda kujua undani wa stori zinazoandikwa kuhusu kuvunjika kwa mapenzi kati ya Nuh Mziwanda na Shilole, Sasa hapa nakukutanisha nao wote wawili na haya ndiyo wanayoyaeleza kwenye…
Video: Hii ndio picha rasmi ya Rais Magufuli iliyotambulishwa leo
Siku 30 baada ya Serikali ya Tanzania kuzuia matumizi ya picha ya kwanza ya Rais Magufuli, Leo Jan 8 imetangaza rasmi inayotakiwa kutumika kwenye ofisi za Serikali na zile za binafsi,…
Saa kadhaa kabla ya Samatta hajatua Tanzania, hivi ndivyo alivyopokelewa Aubameyang kwao Gabon (+Pichaz)
Usiku wa January 7 ulikuwa ni usiku wa furaha kwa taifa la Tanzania na Gabon, kwani mastaa wawili wa soka wa bara la Afrika walitamba katika tuzo za mchezaji bora…
Simba kucheza nusu fainali na Mtibwa, Yanga na URA, cheki pichaz na matokeo …
Hatimaye hatua ya Makundi ya michuano ya Kombe la Mapinduzi imemalizika kwa kushuhudia timu za Simba, Yanga, Mtibwa Sugar na URA ya Uganda zikitinga katika hatua ya nusu fainali ya…
URA watoa nafasi kwa Simba kuchagua timu ya kucheza nayo nusu fainali Yanga au Mtibwa Sugar …
Hatua ya makundi ya michuano ya Kombe la Mapinduzi visiwazi Zanzibar ina malizika leo January 8 kwa michezo miwili ya Kundi A kuchezwa katika dimba la Amaan, michezo miwili ya…