Rapper mtanzania aliyewahi kushirikishwa na Kanye West kuitoa hii yake album sokoni…
Ni headlines za rapper aishiye Marekani 'Minnesota' mwenye asili ya Tanzania ambaye aliwahi kushirikishwa na Kanye West kwenye ngoma iitwayo 'All Day'. Good news ninayotaka kushea na wewe ni kwamba…
Mbunge Professor Jay kutimiza aahidi hii jimboni kwake…
Ni headlines za mbunge wa jimbo la Mikumi, Joseph Haule aka Professor Jay ambaye amezungumza na ripota wa millardayo.com kuhusiana na kutekeleza kile alichokiahidi wakati wa kampeni. 'Ni kweli na…
Rucky Baby kaja na video ya wimbo ‘Give me some’, kama ilikupita unaweza kuicheki hapa…
Msanii wa Bongo Fleva, Ruck Baby time hii kaja na video ya single yake mpya iitwayo Give me some unaweza ukabonyeza play kuitazama hapa https://www.youtube.com/watch?v=MDjkUO2MqZU Unataka kutumiwa MSG za habari zote…
Magazeti ya Tanzania January 3, 2016 na stori zake kubwa kurasa za mwanzo na mwisho
Leo January 3, 2016 nimekuwekea tena stori zote kubwa za Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu, usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook, twitter na instagram…
TP Mazembe inatafuta mbadala wa Samatta? hawa ndio nyota wa Tanzania waliokwenda kwa majaribio …
Baada ya mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga katika klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mbwana Samatta kuthibitisha kuwa yuko mbioni kuondoka TP Mazembe na kujiunga…
Video ya Harmonize na mashabiki kwenye stage Dodoma January 1 2016
Mwimbaji Harmonize wa single ya 'Aiyola' akiwa ni mwimbaji wa kwanza kutambulishwa kwenye lebo ya WCB inayomilikiwa na mwimbaji wa bongofleva Diamond Platnumz, January 1 2016 alifanya show yake ya…
Cheki video ya dakika 2 za Yaya Toure na Sergio Aguero walivyobadili matokeo ya mechi dhidi ya Watford
January 2 michezo ya Ligi Kuu Uingereza iliendelea ila mchezo kati ya Watford FC dhidi ya Man City ndio ulihitimisha michezo ya Ligi Kuu Uingereza kwa siku ya Jumamosi ya…
News na Trailer ya movie mpya ya Watanzania ‘Home Coming’ baada ya kuonyeshwa CINEMA Dsm
Ni movie nyingine iliyoigizwa na Watanzania lakini ikapitia kwenye mikono ya Watengenezaji wenye sifa zinazotakiwa kwenye utayarishaji na utengenezaji wa movie kwenye dunia ya sasa.... Trailer yake na ilivyoonyeshwa kwa…
Baada ya kupotea kwa wiki mbili, staa wa soka Ivory Coast amekutwa amefariki mtoni Ujerumani …
Ikiwa ndani ya wiki zisizo pungua tatu ulimwengu wa soka umepokea taarifa za vifo vya wanasoka wawili, mchezaji wa timu ya taifa ya Honduras Arnold Peralta na aliyekuwa mchezaji wa zamani…
Hivi ndivyo Wayne Rooney na Anthony Martial walivyomfanya Louis van Gaal aanze kutabasamu (+Pichaz)
Kipute cha Ligi Kuu Uingereza kimeendelea tena leo January 2 kwa michezo kadhaa kuchezwa katika viwanja mbalimbali nchini humo, Man United walikuwa wenyeji wa Swansea City katika dimba la Old…