Time ya kuenjoy na ujio mpyampya wa Sauti Sol mwaka 2016, -‘Relax’ (+Video)
2016 mwaka mwingine, na kila mtu anaanza mwaka kivyake... Sauti Sol ni mastaa wakubwa kutoka Kenya mtu wangu... muziki wao umefika mbali na wamefanikiwa kuingia kwenye headlines za mastaa wa…
Licha ya kusemwa kwa matumizi ya pound milioni 250, Louis van Gaal yupo katika mipango hii kwa sasa …
Kocha wa klabu ya Manchester United ya Uingereza Louis van Gaal January 2 amerudi kwenye headlines na hii, japokuwa haikutegemewa na wengi, kuona kocha wa sasa wa Man United ambaye…
Nakukutanisha na picha 20 za Jiji la Mwanza…haya ni maeneo ya Capri point…
Leo nisiku ya pili tangu tumeuanza mwaka 2016 najua kuna watu wangu malengo yao nikuwekeza zaidi mwaka huu, labda ungetamani kupata nyumba kali uimiliki mwenyewe mtu wangu maeneo maarufu ya…
Jina la Diamond Platnumz kwenye list ya washindi wa Tuzo nyingine Nigeria mapema kabisa 2016..
2016 mwaka mwingine unaoanza vizuri kwa muziki wa Bongofleva wenye mizizi yake Tanzania ambapo usiku wa January 01 2016 zimetolewa Tuzo za HEADIES Awards ndani ya Lagos Nigeria. List kamili…
Maamuzi ya Mawaziri watatu kwenye meza moja walivyofika machinjio ya Vingunguti Dar..
January 02 2016 ni siku nyingine Jumamosi inayobeba kichwa cha habari cha ziara za ghafla za Mawaziri wa Rais Magufuli, hii ya leo wameongozana mguu kwa mguu Mawaziri watatu kwenda…
Upo Dar na ungependa kwenda cinema leo JAN 2 ? ratiba iko hapa…
The Last Witch Hunter ni movie mpya iliyochezwa na staa Vin Diesel itayoanza kuonyeshwa leo dunia nzima kwenye theater mbalimbali, kama vipi ungana na dunia nzima na wewe ukaangalie movie…
Uingereza walivyoamua kujenga maeneo ya kuvutia ‘unga’.. ndio kusema wamehalalisha?
Mapambano ya dawa za kulevya yako kila kona duniani... najua kukutana na kichwa cha habari kwamba kuna nchi eti wameamua kuwajengea kabisa vibanda vya kuvutia dawa za kulevya ni kitu ambacho…
Saa mbili za mpiga picha alivyonasa kwenye moto wa ghorofa la Hoteli Dubai.. (+Video)
Mpiga picha Dennis Mallari raia wa Ufilipino alikuwa na jukumu moja tu siku ya mkesha wa mwaka mpya ndani ya Dubai... kazi yake ilikuwa kuhakikisha anapata picha kali za fataki zitakazopigwa…
Achana na Lexus ya mabox, cheki na hii yenye matairi ya barafu !!(+Pichaz)
Kama kuna vitu vinayakimbiza maisha kwenye kasi ya ajabu, basi teknolojia nayo imo... uliipata ile ya Lexus iliyotengenezwa kwa mabox, ikafungwa mota alafu ikaingia barabarani na kutembea kama gari tulizozoea?…
Maneno 18 ya Waziri Mwigulu Nchemba baada ya kugundua upotevu wa kodi machinjio ya Vingunguti..
Picha zimeenea mitandaoni zikimuonesha Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mwigulu Lameck Nchemba akiwa kwenye ziara katika machinjio maarufu ya ng'ombe pamoja na mbuzi iliyopo eneo la Vingunguti Dar es Salaam.…