Magazeti ya Tanzania January 2, 2016 na stori zake kubwa kurasa za mwanzo na mwisho
Leo January 2, 2016 nimekuwekea tena stori zote kubwa za Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu, usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook twitter na…
Anza weekend yako ya mwaka mpya kwa kutazama mechi 21 kali za kuvutia, kwa Tanzania, Uingereza na Hispania
Ligi Kuu soka Tanzania bara imesimama kwa muda kupisha michuano ya Kombe la Mapinduzi inayoanza January 3 2016 Zanzibar, lakini hiyo haimaanishi mtu wangu hakuna mechi kali za soka weekend…
Haya ndio matukio 10 ambayo yatateka hisia za watu wengi wa soka kwa mwaka 2016
Tayari tumemalizana na mwaka 2015 na sasa tupo katika mwaka 2016, kila mtu anapanga mipango yake katika huu mwaka kuhakikisha kila kitu chake kinatimia. Wakati watu wakiwa wanapanga mipango yao…
Zlatan Ibrahimovic anataka kuondoka PSG, kisa? nahodha wa PSG Thiago Silva kaamu hivi ….
Mshambuliaji wa kimataifa wa Sweden ambaye ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa Sweden mara 10 Zlatan Ibrahimovic anataka kuondoka katika klabu yake ya Paris Saint Germain ya Ufaransa. Mshambuliaji huyo…
Harmonize alivyouanza mwaka na wanaDodoma
Harmonize ni jina lililoanza kwa kasi mara baada ya kuachia hit song ya 'Aiyola' na sasa limezidi kutawala katika masikio ya Watanzania wengi mara baada ya kuanza rasmi kufanya show.…
Baada ya Liverpool kujishauri kumsajili Alexandre Pato, haya ndio maamuzi yaliofanywa na klabu yake …
Mshambuliaji wa kimataifa wa Brazil ambaye amewahi kuichezea klabu ya AC Milan ya Italia Alexandre Pato alikuwa katika mipango ya Liverpool ya Uingereza kwa muda mrefu, lakini uhamisho wake ulikuwa unatajwa…
Alikiba alivyochekecha kwenye stage Machakos Kenya akiagana na mwaka 2015..(+Pichaz)
Wiki moja iliyopita December 26 2015 ilikuwa siku ya kumshuhudia King Kiba kwenye stage Escape 1 Dar es Salaam alipoangusha mzigo mzima wa show ya funga mwaka !! Kazi haikuwa…
Muonekano wa baadhi ya maeneo ya Mwanza january 1 2016…(+Pichaz)
Ukiniambia nitaje sehemu zangu tatu ambazo huwa nazizimia Tanzania Mwanza ipo kwenye hiyo list yangu mtu wangu, wakati siku ya kwanza ya mwaka 2016 inaelekea kuisha naomba nikupitishe kwenye baadhi ya mitaa…
Ninayo namba kamili ya mifugo iliyochinjwa kwenye sikukuu ya mwaka mpya Mwanza
Happy New Year mtu wangu popote ulipo... naomba ikufikie najua watu wangu tayari mmeshapata vitoweo vyenu kwenye hii siku iwe nyama ya ng’ombe, mbuzi, kondoo hata kuku lakini huenda haufahamu…
Pichaz za Neymar, Ronaldo, Kevin De Bruyne, Lampard, Walcott na wengine walivyosherehekea mwaka mpya 2016 ..
Ikiwa ni siku ya kwanza katika mwaka 2016 yaani mwaka mpya, kila mtu amesherehekea kwa namna yake. Mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee pichaz za mastaa wa soka walivyosherehekea sikukuu…