Magazeti ya Tanzania December 30 2015 na stori zake kubwa kurasa za mwanzo na mwisho
Leo December 30 2015 nimekuwekea tena stori zote kubwa za Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu, usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook twitter na…
TOP 20 ya wachezaji bora wa Ligi Kuu Uingereza 2015, Afrika imetoa wachezaji wawili pekee, Cheki list hapa …
Tukiwa tunaelekea kuumaliza mwaka 2015 na kuingia mwaka mpya 2016 moja kati ya mitandao inayoandika stori za michezo duniani imeandika TOP ya wachezaji bora wakali wa Ligi Kuu Uingereza. Mtandao…
Leicester City wameidhibiti Man City ndani ya dimba la King Power, haya ndio matokeo (+Pichaz)
Ligi Kuu soka Uingereza imeendelea tena usiku wa December 29 kwa mchezo mmoja kupigwa katika dimba la King Power, mchezo wa December 29 ulikuwa unazihusisha klabu za Leicester City dhidi…
Majibu ya msemaji wa Simba Haji Manara kuhusu Simba kuhusishwa kumsajili Haruna Niyonzima (+Audio)
Siku moja baada ya klabu ya Dar Es Salaam Young African kutangaza maamuzi ya kuvunja mkataba na kiungo wake wa kimataifa wa Rwanda aliyekuwa anakipiga katika klabu hiyo Haruna Niyonzima.…
Dakika 15 za safari ya Samatta kutoka African Lyon, Simba, TP Mazembe hadi KRC Genk ya Ubelgiji
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania ambaye anakipiga katika klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mbwana Ally Samatta, yupo kwenye headlines kwa sasa baada ya dili lake…
Ninazo picha 20 za uzinduzi wa filamu mpya ‘Home Coming’.. mastaa wahudhuria
Mastaa mbalimbali leo Dec 29 walikutana cinema Mlimani City kwenye uzinduzi wa filamu mpya iliyopewa jina la Home Coming ambayo ndani ya movie hiyo kuna mastaa walioshiriki akiwemo Mzee Chilo na…
Kama ulimis kilichofanywa na Alikiba, Diamond na Harmonize kwenye stage Xmas hii !
Mastaa wengi wa bongofleva wamepiga show kwenye area tofauti Xmas hii, nilizoweza kukurekodia ni hizi pia ikiwemo ya msanii kutoka lebo ya Diamond >> Harmonize, nyingine ni ya Diamond mwenyewe…
Maamuzi ya Mbunge Professor Jay kwenye siku yake ya kuzaliwa Dec 29…
Ikiwa Dec 29 ni siku ya kuzaliwa kwa msanii na mbunge wa Mikumi,Mh Joseph Haule aka Professor Jay ameamua kuchukua maamuzi ya kufanya usafi kwenye ofisi aliyokabidhiwa leo huko jimboni…
Bilionea wa 24 Afrika atoa siku tatu kwa viongozi wa klabu ya Simba kuhusu bilioni 20 zake …
Baada ya stori nyingi kuingia katika headlines kwa siku za hivi karibuni kuhusu uamuzi wa moja kati ya mabilionea wa Afrika kutaka kuinunua klabu ya Simba, mengi yameandikwa na mengi…
Ninazo picha za Lazaro Nyalandu akikabidhi rasmi ofisi kwa Waziri mpya wa Maliasili na Utalii
Dec 23 2015 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alimalizia kujaza nafasi za uteuzi wa Mawaziri na Naibu Waziri alizobakiza wakati akitangaza baraza la Mawaziri…