FC Barcelona yavunja mkataba na mchezaji saa chache baada ya kumsajili, kisa Real Madrid …
Mapenzi ya wachezaji katika vilabu fulani barani Ulaya, imekuwa kawaida hata kama hawavichezei. December 28 klabu ya FC Barcelona imeingia kwenye headlines baada ya kumsainisha mchezaji na kisha kufuta mkataba…
Burudani inahamia Zanzibar, Kombe la Mapinduzi 2016 Yanga, Azam FC na Simba ndani, ratiba kamili ipo hapa …
Ni kawaida kila mwaka kufanyika kwa mashindano ya Kombe la Mapinduzi visiwani Zanzibar, kwa mwaka 2016 michuano hiyo inafanyika kama kawaida. Kombe la Mapinduzi kwa sasa Bingwa mtetezi wa Kombe…
Siku yako haijaenda poa leo Dec 29..? Hapa ni lazima ucheke….(+VIDEO)
Inawezekana siku yako haijawa poa sana leo, basi chukua time hii kuirejesha furaha kwa kucheka na vituko vya mchekeshaji kutokea Uganda Anne Kansiime. Sasa hapa ninayo video inayomuonesha Kansiime alipopigiwa simu…
Magari 11 ya mastaa wa Bongo Fleva/Bongo Movie 2015 (+Picha)
Najua nina watu wangu mnaopenda kufahamu magari wanayomiliki mastaa mbalimbali wakiwemo Bongo Movie na Bongo Fleva, sasa hapa nimefanikiwa kupata picha 11 za mastaa wanaomiliki magari makali Dar es Salaam.…
Kauli ya Sergio Aguero kama unafikiria kuwa Lionel Messi atajiunga na Man City …
Staa wa kimataifa wa Argentina anayekipiga katika klabu ya Manchester City, Sergio Kun Aguero amekiri kuwa angependa kumuona mshambuliaji wa FC Barcelona na timu ya taifa ya Argentina Lionel Messi…
Namna ambavyo video ya ‘Utanipenda’ ya Diamond ilivyotengenezwa.
Video ya Utanipenda mpaka sasa ina siku 19 toka iwekwe kwenye mtandao wa Youtube na imetazamwa zaidi ya mara 1,031,735,Diamond kwa sasa amekua tayari kutuonyesha vile vilivyokua vinatokea nyuma ya…
Pep Guardiola yupo Kenya kutafakari ofa za vilabu vya Ulaya, huu ni uthibitisho ndani ya Kenya …
Kocha wa klabu ya FC Bayern Munich ya Ujerumani Pep Guardiola ambaye pia anahusishwa kutaka kujiunga na vilabu vya Man United, Chelsea na kwa kiasi kikubwa Man City, December 28…
Mkubwa Fella kwenye headlines za utambulisho wa kundi jipya Salamu TMK…(Video)
Mkurugenzi wa Yamoto Band na TMK Wanaume Family, Said Fella time hii anakualika kuangalia video ya vijana wake wapya wapo saba ambao wanaunda kundi jipya lililopewa jina la Salamu TMK. Vijana…
Waziri wa Magufuli kaapishwa jana, leo kaibuka na ‘jipu’ jingine la makontena bandarini Dar
Headlines kwenye vyombo vya habari zinabebwa na neno 'jipu' au 'majipu' kutokana na kauli na ahadi ya Rais Magufuli kwamba lazima atumbue majipu ya ufisadi na ubadhirifu Serikalini. Tuliyapata ya…
Popote ulipo unaweza kuzipokea salamu za sikukuu kutoka maziwa ya NIDO
Ni msimu wa sikukuu ya sherehe za mwisho wa mwaka, Christmas na mwaka mpya 2015, kama kuna salamu umezipata kutoka kwa ndugu jamaa na marafiki... sasahivi ni time ya kukufikishia…