Kulala kwenye jeneza eti inapunguza stress ??!! Cheki na hii ya Wakorea.. (+Video)
Moja ya nchi ambazo zinaongoza kwa watu wake kujiua Korea nayo ipo... zinatajwa sababu mbalimbali za watu kuamua kujiua ikiwemo ishu ya msongo wa mawazo au stress !! Umewahi kupatwa…
Kuelekea Ballon d’Or, tujikumbushe kwa video ya washikaji wakiwachambua Messi na Ronaldo kwa vitendo …
Bado siku 18 ili ifikie January 11 2016, siku ambayo tutashuhudia historia mpya ikiandikwa katika ulimwengu wa soka, kwani ndio siku ambayo tutamfahamu mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa…
Ni TID , Marlaw, AY, Ray C, Daz baba, Suma Lee,kwenye video zao enzi hizo…(+Video)
Muziki wa Bongo Fleva una safari yake ndefu tu, wengine wapo kwenye game wengine hawapo…..nakukumbusha na vitu vya zamani kidogo mtu wangu, hapa ninazo video za kitambo kidogo za mastaa…
Kauli ya Wayne Rooney kuhusu ajira ya Louis van Gaal na walichoamua wachezaji wa Man United …
Bado hali sio nzuri ndani ya klabu ya Man United, haikatishi siku bila mitandao ya kijamii, magazeti na tovuti kujadili juu ya kibarua cha kocha wa sasa wa Man United…
Sentensi za Madee alivyomjibu Afande Sele kuhusu kushoot video South Africa……
Ni stori iliyoanza kuchukua headlines kuanzia Dec 23 ambapo mkongwe wa muziki, Afande Sele alipohojiwa na mtandao maarufu na kusema 'Wanaoenda kushoot South wana biashara za siri' kauli hiyo imeonesha…
#NewVIDEO>> ‘Natokea Dar’ kutoka kwa rapper Wakazi.. hii kaifanya ‘Ojuelegba Refix’ ya Wizkid (+Video)
Kama ni mfatiliaji wa muziki wa Bongo Tanzania basi hii nayo inakuhusu... rapper Wakazi kaipenda 'Ojuelegba' ya kijana wa Nigeria, Wizkid na kaamua kuingia studio kuisuka yake ambayo kaibatiza jina…
Sekunde 30 za kuenjoy na Eric Omondi alivyoimba ‘Utanipenda’ ya Diamond.. (+Video)
Unajua kwenye namba ya wakali wa comedy wenye majina makubwa kutokea East Africa, jina la Eric Omondi nalo limo !! Eric huwa anarudia kwa kuimba style na maneno yake mwenyewe, na…
Ni kweli Pep Guardiola kaamua hivi kuhusu Man City? Ujerumani wameandika hivi …
Kocha wa zamani wa klabu ya FC Barcelona ambaye kwa sasa anaitumikia klabu ya FC Bayern Munich ya Ujerumani Pep Guardiola jina lake limekuwa likitumika kupamba headlines tofauti tofauti za…
List ya wakali 20 waliokimbiza East Africa 2015.. Alikiba, AY, Vanessa, Diamond, wote ndani.. (+Videos)
Countdown ya siku zinazokamilisha mwaka 2015 inazidi kutiririka huku muziki ukionekana kuibeba vizuri ramani ya East Africa kwenye level za kimataifa..!! Najua watu wetu wamefanya kazi nzuri na kazi kubwa…
Hii ndio video ya matukio ya Ronaldinho ambayo hayawezi kusahaulika na nadra kutokea uwanjani …
Mtu wangu wa nguvu ikiwa leo Alhamisi ya December 24 ndio ile siku yetu ya kupost matukio mbalimbali ya zamani katika mitandao ya kijamii na kujikumbushia, naomba nikurudishe nyuma kidogo…