Pichaz 6 za utambulisho wa mchezaji wa kimataifa wa Yanga aliyetokea Niger Issoufou Boubacar Garba
Headlines za ujio wa kiungo mshambuliaji wa kimataifa wa Niger aliyesajiliwa na klabu ya Dar Es Salaam Young African Issoufou Boubacar Garba zilichukua nafasi sana katika vyombo vya habari, ila jioni ya…
Picha 6 za Naibu Waziri wa afya alivyofunga geiti kwa Wafanyakazi waliochelewa kazini Dec 18
Ijumaa ya December 18 2015 inakuwa siku ya sita tangu Mawaziri na Manaibu wao walioteuliwa na Rais Magufuli waapishwe Ikulu Dar es Salaam... kwenye list ya Baraza hilo, yuko pia…
Ya nne kutoka kwenye album mpya ya Chris Brown, ‘Picture Me Rollin’ imenifikia, itazame hapa!- (Video)
Baada ya kuachia video ya 'Anyway' jana December 17 2015, Chris Brown amerudi na nyingine mpya ikiwa ni muendelezo wa pale ilipoishia kwenye video ya awali. Wimbo unaitwa 'Picture Me…
Utata ulivyoibuka baada ya watu wa Brazil kuzuiwa kutumia WhatsApp..
Mtandao wa WhatsApp umekamata sana sasahivi kutokana na watu wengi kupendelea kuutumia mtandao huo, inakuwaje una smartphone yako alafu unazuiwa kutumia WhatsApp ?!! Brazil imewakuta hiyo. Ishu ilianza hivi, Mahakama ya…
Bomoabomoa Dar, Vigogo wa TRA waachiwa, Mume amuua mkewe kisha kujiua, ya Jaji Bomani..MAGAZETINI
MTANZANIA Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema afya yake ni njema na anaendelea na majukumu yake ya kila siku kama kawaida. Amesema hivi sasa yuko India alikokwenda kufanya uchunguzi wa…
Kutana na nyingine mpya ya French Montana ‘First Time’ feat. Puff Daddy – (Video)!
Akiwa bado anakamilsha Album yake mpya Mac & Cheese 4 inayotarajia kuwa mtaani mapema mwaka 2016, rapper kutoka Marekani French Montana amerudi kuziweka headlines kwenye kurasa za burudani weekend hii…
Takwimu ya wajane duniani kwa mwaka 2015 imenifikia, hii hapa yote..
Kuna takwimu za ishu kama magonjwa, rushwa, ajali huwa zinapewa kipaumbele sana kwenye vichwa vya habari kila kona, lakini takwimu nyingine hata kama zipo ni adimu kukutana nazo... Leo ni…
Hizi ndio #TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 8 Tanzania DECEMBER 18 2015
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu yaTwitter >>>@millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa nimezikusanya zote…
Meek Mill matatani, licha ya Nicki Minaj kumtetea Mahakama haijamuacha bure!
Mwaka huu wa 2015 hautoisha poa kwa rapper wa Maybach Music Group, Meek Mill kwani baada ya kusimama Mahakamani kwa zaidi ya wiki mbili inaonekana jitihada zake za kujitetea kwanini…
Ni kweli Kidumu ameokoka? nini hasa kilitokea? nimempata mwenyewe kujibu hii
Jina lake lilianza kutajwa na Watanzania wengi kupitia hit single zake kama ya 'haturudi nyuma' ft Juliana ni miaka imepita toka wimbo wake wa mwisho uwe kwenye TOP 10 ya…