Zisikupite hizi stori kubwa 3 kutokea kwenye Amplifaya Dec 14, 2015
Amplifaya ni show inayosikika kuanzia Jumatatu mpaka Ijumaa kupitia Clouds FM kuanzia saa moja usiku mpaka saa tatu, ni show ambayo ina namba 10 muhimu zinazomilikiwa na habari, yaani habari…
Magazeti ya Tanzania December 15 2015 na stori zake kubwa kurasa za mwanzo na mwisho
Leo December 15 2015 nimekuwekea tena stori zote kubwa za Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu, usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook twitter na…
Inawezekana na gari lako ni Passo lakini halivutii kama haya mengine 6
Wanasema gari ni mtu mwenyewe, katika utafiti wa harakaharaka wa macho nimegundua miongoni mwa magari mengi yanayotumika na Watanzania sasa hivi ni pamoja na Passo ambayo inasifika kwa kuwa na…
Hizi ndio single mbili za Matonya zilizompa mkwanja mrefu katika maisha yake ya muziki…..
Ninajua nina watu wangu ambao mtakuwa na hamu ya kufahamu stori za wasanii waliokuwa wakitamba enzi zile, sasa hapa stori ninayotaka kukusogezea ni hii kutoka kwa msanii mkongwe wa Bongo…
First 11 ya muda wote katika historia ya soka, Maradona na C. Ronaldo wameachwa, Messi na Pele ndani …
Katika pita pita zangu mtandaoni nimekutana na hii mtu wangu, first eleven ya wachezaji bora wa muda wote katika historia ya soka. Yaani nimekutana na list ya wachezaji 11 ambao…
Video 3 fupi za comedy: Dalali muongo wa nyumba, girlfriend asiejua kumpikia boyfriend na mwizi
Kuna vipisi vya sekunde 15 kila kimoja hapa kwenye hii post ya vichekesho/vituko vilivyotengenezwa ambapo hiki cha kwanza hapa chini ni cha dalali wa nyumba ambaye ni mjanjamjanja ila aliumbuka…
Mabibi na Mabwana Mr Blue katuletea hii video mpya ‘Baki na Mimi’ hautajutia dakika zako..
Jina lake ni Herry Samir lakini kwenye hit songs ni jina la Mr Blue ndio lipo, sasa time hii ametusogezea video ya single yake mpya inaitwa 'Baki na mimi' na video ni…
Nahreel kasema ‘nisieleweke vibaya kuhusu haya niliyosema kuhusu Diamond’
Nahreel ni msanii wa kundi la Navy Kenzo lakini pia ni Producer ambaye mikono yake imehusika kuzisuka hits nyingi tu ikiwemo za WEUSI, Vanessa Mdee, Navy Kenzo, Shilole na hivi karibuni…
Utani wa Baba levo kuhusu matatizo ya simu za wasanii Shilole, Nay wa mitego na wengine.
Kutana na Fix za mchekeshaji na msanii Baba Levo, leo kaja na hii ya kufichua matatizo ya simu za mastaa mbalimbali wa Bongo, kazungumzia ya Lanah, Shilole, Nay wa mitego…
Radio kutoka Uganda ametuletea hii video mpya ‘ Nkwagala’ itazame hapa….
Radio kutoka Uganda amerudi tena kwenye headlines za burudani baada ya kuachia Video yake mpya inayoitwa ‘Nkwagala' iliyoongozwa na Jahlive Films. Unawea ukabonyeza play kuitazama hapa https://www.youtube.com/watch?v=QMv3d-A_Mrc Unataka kutumiwa MSG za habari zote…