Mabibi na mabwana Diamond Platnumz kaileta hii video mpya, ndani yumo Wolper, FA, Mama Diamond, Zari na wengine
Diamond Platnumz jioni ya December 11 aliachia video yake mpya ya Utanipenda? bonyeza play kuitazama hapa chini kisha tuachie comment yako umeionaje mtu wa nguvu https://youtu.be/q9l2ItDLsUk Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa…
Waziri Mkuu alivyobebwa juujuu kutolewa nje ya Bunge la Ukraine.. (+Video)
Bunge la Jamuhuri ya Muungano Tanzania litaanza muda sio mrefu baada ya Uchaguzi mkuu wa Oktoba 25 2015 kukamilika... kuna mambo ya kujibizana kwa hoja, hiyo ni kawaida... lakini kuna…
Siku 2 baada ya Rais Magufuli kuwaongoza Watanzania kufanya usafi #Dec9, hizi ni picha 20 muonekano wa Dar Es Salaam
Headlines za uamuzi wa Rais wa awamu ya tano Dk John Pombe Magufuli kutangaza kuwa maadhimisho ya siku ya Uhuru kuadhimishwa kitofauti zilichukua sana nafasi katika vyombo vya habari, Siku ya…
Wizkid anaisogeza ‘Final (Baba Nla)’ kwenye video na angependa iguse playlist yako – (Video)!
Staa wa muziki kutoka Nigeria, Wizkid maarufu kama Star Boy Wizikid anafunga mwaka na mdundo mpya kwenye headlines... Wizkid anaisogeza kwetu video ya latest single yake 'Final (Baba Nla)'. Mtayarishaji…
Ugonjwa wa homa ya mafua ya Nguruwe ulivyoibuka Mwanza…Taarifa ya TAMISEMI ninayo hapa
Baada ya kuripotiwa ugonjwa wa Kipindupindu kutokea katika maeneo mbalimbali kanda ya Ziwa headlines zimerudi tena. Uchunguzi uliofanywa na Maabara ya chuo kikuu cha Kilimo cha Sokoine SUA umethibitisha kuwepo…
Korede Bello staa wa ‘Godwin’ anaileta nyingine kali kwenye video; ‘Romantic’ feat. Tiwa Savage – (Video)!
Staa wa kutoka lebo ya Don Jazzy, Mavin Records na mwenye hit single ya Godwin, Korede Bello amerudi kuziweka headlines kwenye kurasa za burudani na ujio wa mdundo mpya pembeni…
Lil Kesh Feat.Patoranking kwenye hii official Video ‘Is It because I Love You’…
Lil Kesh kaisogeza kwako video ya ngoma yake mpya ‘Is It Because I Love You’ ndani akimshirikisha mkali wa My Woman, My Everything Patoranking. Karibu uitazame hapa... https://www.youtube.com/watch?v=mx8O1ZRlTiI Unataka kutumiwa MSG…
Kwa Tanzania, Uingereza na Hispania hizi ndio mechi kali za weekend ya December 12 na 13 …
Baada ya kusimama kwa Ligi Kuu soka Tanzania bara kwa wiki kadhaa sasa, Jumamosi ya December 12 inaendelea tena kama kawaida, Jumamosi ya December 12 itapigwa michezo sita na Jumapili…
Baada ya Classic Man, Jidenna anaisogeza ‘Long Live The Chief’ na video yake hii hapa… (Video)!
Baada ya kuweka headlines nyingi sana na single yake ya 'Classic Man' single iliyompa nomination ya tuzo za Grammy 2016, msanii kutoka Marekani mwenye asili ya Nigeria, Jidenna amerudi tena…
Mawaziri wa Rais MAGUFULI walivyojadiliwa na UVCCM leo, kuna msisitizo wa haya mawili..
Jana Rais wa Tanzania John Magufuli alitangaza Baraza jipya la Mawaziri, likiwa na jumla ya Wizara 18 pamoja na Mawaziri 19. Wadau wengi nchini wametoa maoni yao kuhusu uteuzi huo…