kama unaitaka list ya nyimbo 20 za CloudsFM Top 20 December 6, 2015
Kila Jumapili kuanzia saa tano asubuhi mpaka saa saba mchana huwa countdown ya nyimbo 20 bora inafanyika kwenye CloudsFM Top 20 ambapo list ya December 6, 2015 ni hii hapa…
Top 10 ya zilizobamba kwenye YouTube account ya Millard Ayo wiki hii..(+Videos $ Audio)
Leo Dec 6, 2015 nimezikusanya Top 10 zilizobamba wiki hii katika YouTUBE account ya mtu wako wa nguvu Millard Ayo, nitaomba pia uniandikie kwenye maoni kwa mtazamo wako ipi ingefaa…
Ni headlines baada ya headlines!! hawa ni maofisa waliosimamishwa kazi TANESCO..
Nitahakikisha nakupatia kila stori inayonifikia....sasa hivi nakusogezea hii stori kutoka shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kuhusu kuwasimamisha kazi maofisa 7 waandamizi kutokana na makosa mbalimbali ikiwemo wizi na ubadhirifu. Akizungumza…
Its a Boy!!! Kim Kardashian na Kanye West waongeza furaha ndani ya familia yao…
Good News kwa familia ya Rapper wa Marekani Kanye West na mke wake Kim Kardashian!!. Baada ya safari ndefu ya ujauzito wa staa huyo wa kipindi cha televisheni cha 'Keeping…
Waliokamatwa na Makontena, babu aoa mtoto wa miaka nane, DAWASCO na bei mpya..#MAGAZETINI
TANZANIA DAIMA Mahakama ya Bunda amemhukumu kifungo cha miaka 30 jela Changwe Changige mwenye miaka 54 kwa kosa la kumuoa na kumbaka mtoto wa miaka minane. Wakati huo huo mahakama…
MAGAZETI #TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 9 ya Tanzania Dec.06, 2015
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa…
Pichaz za kilivyohappen kwenye Tamasha la Nyama Choma Festival Dec 5….
Ni kijiwe kingine kabisa ambacho kinawakutanisha watu wa nguvu kwenye mikoa mbalimbali Tanzania, hapa inaliwa nyama choma, marafiki wanakutana na kuenjoy good music pembeni, michezo ya watoto, burudani ya live band…
50 Cent katusogezea single mpya, kama ilikupita isikilize hapa… “I’m The Man”
Rapper kutoka G Unit, 50 Cent time hii ametusogezea hii single yake mpya iitwayo "I'm The Man" Isikilize hapa Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo?…
Wanavyuo UDSM, IFM, CBE kwenye #TIGOuniversityVIP…(Picha)
Kama uko chuoni UDSM, IFM au CBE Dar es salaam, Mzumbe Morogoro, Utumishi Mtwara unayo nafasi ya kushinda na kupewa hadhi ya ki-VIP kutoka Tigo, na tayari mpango umewadondokea washindi wa…
OnAiR with Millard Ayo: Kuna watu wamemkosoa Peter Msechu hajui… amewataja na kusema kilichofata. (video)
Peter Msechu ni mwimbaji wa bongofleva ambaye headlines zake zilianzia kwenye BSS, kisha PROJECT FAME na baadae akarudi kwenye mzunguko wa bongofleva, kuna watu waliomkosoa kwamba hajui kuandika nyimbo na amewataja…