Louis van Gaal yupo tayari kuondoka Man United ila kama wachezaji wataamua hivi …
Headlines za kocha wa Man United Louis van Gaal kuwa huenda taondoka klabu hapo zimekuwa zikichukua nafasi kila siku, kwani mashabiki wa timu hiyo hawana imani na uwezo wa kocha…
Dakika za Man City kuongoza EPL zinahesabika ni baada ya kipigo cha Stoke, cheki (+Pichaz&Video)
Jumamosi ya December 5 Ligi Kuu Uingereza imeendelea tena kwa michezo nane kupigwa, mchezo wa kwanza kupigwa ulikuwa ni mchezo kati ya Stoke City dhidi ya Manchester City katika dimba la…
Wasanii Dayna na AT hawakumpigia kura Dr. Magufuli? wanasemaje sasa hivi?
Wasanii wa bongofleva Dayna Nyange pamoja na AT ni miongoni mwa watu ambao hawakumpigia kura Rais Magufuli kwenye uchaguzi wa mwaka 2015 lakini kinachoendelea kwenye serikali ya Dr. Magufuli sasa hivi…
Nimekusogezea picha 10 za mradi wa vituo vya mabasi Johannesburg South Africa…..
Tanzania ikiwa bado katika headlines za mradi wa vituo vya mabasi yaendayo kwa haraka sasa hapa nimekusogezea hizi picha 10 za muonekano wa vituo vya mabasi kutoka Johannesburg Afrika Kusini.…
Kwako shabiki wa Mr. Flavour….. hii ni single yake mpya
Flavour ni staa mwingine wa Afrika ambae alizichukua headlines kwa Tanzania baada ya kufanya collabo na Diamond Platnumz, sasa time hii ametusogezea single yake mpya iitwayo Baby Oku. Isikilize hapa…
Madee anamfatilia Rais Magufuli kwa karibu… angependa apite kwenye hii
Kasi ya utendaji kazi wa Rais wa awamu ya tano Tanzania Dr. John Pombe Magufuli inazidi kuwagusa wengi, sasa time hi imemgusa Madee, msanii wa bongofleva kutoka Tip Top Connection ambaye…
Kinachofatia ni hiki kwenye Chuo kilichofungwa Kenya baada ya shambulio la kigaidi..
Kuna vyuo vina majina makubwa Kenya kama Nairobi University, Kenya University.. jina la Garissa University lilifahamika na kusikika zaidi baada ya kutokea shambulio la kigaidi na kupelekea mauaji ya wanafunzi…
Utani wa Baba Levo kuhusu matatizo ya Mkoa wa Kigoma…(+Audio)
Msanii wa Bongo Fleva na mchekeshaji Baba Levo amejizolea umaarufu mkubwa hapa nchini kutokana na vituko vyake haswa kwa mtindo wake wa uchekeshaji, yani huwa haishiwi vitu vya kuongea na kukufanya…
Unayakumbuka manne ya Rais Magufuli siku alivyoapishwa? Haya hapa (+Audio)
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzani, Dk. John Pombe Magufuli alitangazwa kuwa Rais wa awamu ya tano siku ya October 29 2015 ambapo siku hiyohiyo ilikuwa ni birthday yake.…
Magazeti ya Tanzania December 5 2015 na stori zake kubwa kurasa za mwanzo na mwisho
Leo December 5 2015 nimekuwekea tena stori zote kubwa za Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu, usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook twitter na…