Unayakumbuka manne ya Rais Magufuli siku alivyoapishwa? Haya hapa (+Audio)
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzani, Dk. John Pombe Magufuli alitangazwa kuwa Rais wa awamu ya tano siku ya October 29 2015 ambapo siku hiyohiyo ilikuwa ni birthday yake.…
Magazeti ya Tanzania December 5 2015 na stori zake kubwa kurasa za mwanzo na mwisho
Leo December 5 2015 nimekuwekea tena stori zote kubwa za Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu, usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook twitter na…
Hizi ndio rekodi 5 za soka ambazo hazijawahi kuvunjwa katika historia ya soka …
Tukiwa tunaelekea kuuaga mwaka 2015 kuna mengi yametokea katika maisha ya soka, moja kati ya vitu vilivyotokea katika soka mwaka 2015 tumeshuhudia Jamie Vardy wa klabu ya Leicester City akivunja rekodi ya…
Mapenzi ya Quick Rocka na Kajala yamevunjika? utata uko hapa…(+AUDIO)
Kuna stori nyingi zinakuwa zikisambaa kuhusu uhusiano wa kimapenzi kati ya mastaa wa kibongo Quick Rocka na Kajala Masanja, licha ya kuwa mengi yanazungumzwa lakini watu hawa wamekuwa wakikwepa kuliweka…
Prof. Lipumba kuwa mshauri wa Rais Magufuli?, kifo cha msanii bongo muvi? majibu yote hapa.. (+AUDIO)
Kama hukupata time ya kuzipata stori zote kubwa za siku kupitia kipindi cha Amplifaya ya Clouds Fm Dec 4, 2015, basi usihofu mtu wangu maana nimezikusanya na kukusogezea hapa tena. Ambapo…
Cheki video ya Birthday Party ya Msuva wa Yanga na Dumy Utamu dancer wa Diamond
Kwa miaka ya hivi karibuni imekuwa kawaida kwa mtu kufanya sherehekatika kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa (Birthday Party), tumeshuhudia Birthday Party za mastaa kadhaa kwa mwaka 2015 kama mrembo…
Top 10 ya Trace TV imekamilika leo Dec 4, 2015, Vanessa Mdee anapambana na wakina Drake, Davido.. (+VIDEOS)
Dec 4, 2015 zimesogezwa tena kwako ngoma kali za Urban Hit Top 10 kutokea kituo cha Televisheni cha kimataifa kutokea nchini Ufaransa Trace Tv. Nikukumbushe chat ya wiki iliyopita mpangilio…
Mechi 18 kali zinazotajwa kuwa na mvuto weekend ya December 5 na 6 kwa Ligi Kuu Uingereza na Hispania …
Bado siku nane tu Ligi Kuu soka Tanzania bara iweze kuendelea baada ya kusimama kwa wiki kadhaa ili kupisha maandalizi ya timu ya taifa pamoja na michuano ya Challenge inayomalizika…
Top 5 za walichokiandika mastaa wa bongo kwenye mitandao ya kijamii leo Dec 4, 2015.
Leo Dec 4, 2015 nimezikusanya post mbalimbali za mastaa wetu wa bongo kupitia mitandao ya kijamii, vitu walivyo viandika katika kurasa zao. Nimegusa katika wanasiasa, wanamichezo, waimbaji na wachekeshaji pia.…
Kama umepata taarifa ya msiba wa msanii Bongo Movie, ukweli niliothibitishiwa ni huu !!
Baadhi ya wasanii walipost mitandaoni wakitoa taarifa ya msiba wa msanii wa Bongo Movie, jitihada zangu zimefanikisha kumpata msemaji wa shirikisho la wasanii Tanzania ambapo kanithibitishia kinachoendelea nyumbani kwa mtoto…