Utathubutu kuisafisha smartphone kwa maji na sabuni ??!! Cheki na maujanja ya Wajapan.. (+Video)
Ziko simu za kisasa ambazo teknolojia yake inaruhusu kukutana na maji na haiharibiki lakini sio simu zote zina uwezo huo !! Nakukutanisha na headlines za Wajapan ambao wameamua kuja na…
Mtanzania gani kakimbiza kwenye Smash Hit za Trance Tv Dec 4, 2015? Jibu unalikuta hapa.. (VIDEO)
Tayari nimezipata ngoma kali zilizochezwa kama Smash Hit kwenye kituo cha kimataifa nchini Ufaransa Trace Tv leo Dec 4, 2015, ambapo Mtanzania mmoja pekee Vanessa Mdee na wimbo wa Never Ever ndio…
Ikumbuke na hii mpya ya Rick Ross kwenye playlist yako, ‘Milly Rock’ – (Audio).
Zimebaki saa chache tu kufikia uzinduzi wa Album mpya ya Rick Ross, Black Market... na tukiwa tunaendelea kusubiri ujio wa Album hiyo, Ricky Renzel anaisogeza kwetu single nyingine kutoka kwenye…
Warembo 7 wa Afrika kwenye stage ya Miss Universe Marekani, mrembo wetu Lorraine nae ndani (+Pichaz)
Headlines za urembo December 2015 zinaibeba Tanzania kwenye uzito wake wa nguvu kabisa, naomba nikukumbushe kwamba fainali za Miss World ni December 19 2015, sio mbali sana hapo !! Lakini…
Hii mpya kutoka kwa 2 Chainz isikupite, ‘El Chapo Jr.’ – (Video)
Rapper kutoka Marekani, 2 Chainz anaziandika headlines za leo kwenye kurasa za burudani na ujio wa brand new single iitwayo 'El Chapo Jr', single inayopatikana kwenye mixtape yake ya Trapavelli…
Kilichonifikia kuhusu ajali ya gari la magazeti ya Mwananchi… #RIP
Hii taarifa imechukua nafasi kubwa sana kwenye mitandao ya kijamii hasa kwenye Whatsapp, Instagram na Facebook pia... inaonekana gari ya magazeti imepata ajali na kunatajwa kuwa kuna watu wamefariki pia…
Baada ya hit ya ‘Duro’, mkali wa Nigeria anakuja na hii nyingine.. Tekno- ‘Wash’
Najua kwa watu wangu ambao hawapitwi na midundo ya Kinigeria bado wanaikubali ngoma ya jamaa ambaye katambulika vizuri kwenye ulimwengu wa muziki kupitia ngoma ya 'Duro', jina lake ni Tekno…
#Goodnews, hawa ndio watano watakaoiwakilisha Tanzania kwenye tuzo za KORA Africa Music Awards 2016!
Good news kwa watu wangu wa Bongo Flevani kwani kila mwaka wasanii wa muziki kutoka nyumbani wanazidi kuipa industry ya Entertainment nuru kubwa katika kuuwakilisha muziki wetu kwenye levo mbalimbali…
Tigo University VIP tena weekend hii kwa Wanachuo wa IFM, UDSM, Mzumbe Moro, CBE – DAR na Utumishi MTR
Tigo imekua ikitoa nafasi za watu wa nguvu kwenye vyuo vya UDSM, IFM, CBE- DAR, Utumishi Mtwara na Mzumbe Morogoro kuenjoy weekend zao na marafiki baada ya kushinda kwenye droo…
Rais Magufuli na ufukwe wa Coco, Vigogo, Makontena 2431 TRA?, Shule binafsi na ada? – (Audio).
Uchambuzi wa magazeti redioni @CloudsFM umekupita? Inawezekana hukuzipata zote zilizoweka headlines kwenye kuperuzi na kudadisi asubuhi hii… kama ilikupita hizi ni dakika 25 za zile zote kubwa za leo. Makontena…