Hizi ndio zinazotajwa kuwa assist 20 kali katika historia ya soka, unaweza cheki video yake hapa Messi ndani
Soka ni mchezo unaopendwa sana duniani ila uzuri wa mchezo huu ili uweze kukuvutia ni pale wachezaji wanapocheza kwa ushirikiano wa kupeana pasi za mwisho za kifundi na mshambuliaji kufunga goli, kitu…
Umeiona video mpya ya K.O wa South Africa? ninayo hapa…
Headlines za burudani weekend hii zinawekwa na Mr Cashtime maarufu kama K.O kutoka South Africa, ambaye time hii ametuletea video mpya ya single yake iitwayo Ding Dong. Itazame hapa https://www.youtube.com/watch?v=JWADm412TBs…
Licha ya kuwa hayupo katika klabu ya Tottenham Hotspurs, huu ndio mkwanja anaovuta Adebayor kutoka Spurs …
Emmanuel Adebayor huyu ni staa wa soka kutoka Togo, kwa sasa unaweza muhita ndio staa mwenye jina kubwa kwa wachezaji wanaotokea Togo, mshambuliaji huyo ambaye amewahi kucheza katika klabu ya…
Ni time ya kumpokea rasmi kabisa Roberto wa ‘Amarulah’ ndani ya Dar es Salaam..
Najua kwa watu wa nguvu na wajanja ambao huwa hawapendi kupitwa na hits kali za mjini wanaijua vizuri sana hit ya 'Amarulah' ya mkali toka Zambia ambaye anaitwa Roberto. Una…
Serikali ya Swizerland imemuunga mkono Rais MAGUFULI kwa kufanya haya…
Ujio wa Rais wa awamu ya tano Dr. John Magufuli umeonekana kuipa neema sekta ya afya nchini..siku chache tu baada ya kuingia madarakani alifanya ziara ya kushtukiza katika hospitali hiyo…
Dakika zako nyingine za kuenjoy collabo kubwa, Christian Bella Feat. Koffi Olomide- ‘Acha Kabisa’ (Audio)
Kama umekuwa karibu na mitandao ya kijamii utakuwa umeona post nyingi mfululizo za 'King of the Best Melodies', Christian Bella akituambia tukae tayari na ngoma yake ambayo ameshirikiana na Koffi…
Headlines haziishi FIFA!! hawa ni maofisa wengine waliokumbwa na kashfa ya rushwa…
Bado hali si shwari ndani ya Shirikisho la soka la mpira wa miguu duniani FIFA, baada ya kusimamishwa kwa aliyekuwa Rais wa shirikisho hilo Sepp Blatter na viongozi wengine, headlines…
Moto wa Waziri Mkuu Majaliwa unaendelea, kayakuta mengine tena bandarini Dar leo..
Hii inakuwa mara ya pili kukutana na taarifa ya ziara ya ghafla iliyofanywa na Waziri Mkuu mpya wa Tanzania, Majaliwa Kassim Majaliwa... mara ya kwanza ilikuwa siku chache zilizopita ambapo…
Rais Magufuli kakutana na Wafanyabiashara wa Tanzania Ikulu, sikia alichowaambia (+audio)
Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli leo December 3 2015 alikutana na Wafanyabiashara mbalimbali kwenye sekta binafsi ambao kwa siku kadhaa sasa wamekua wakiomba kukutana…
Kumbe Ben Pol huwa hasikilizi nyimbo zake?katoa sababu hii..
Mkali wa Rnb Tanzania Ben Pol leo ametoa news ambayo tulikua hatuijui pamoja na kuwa anaandika muziki mzuri na kutupatia kama wasikilizaji kumbe yeye mwenyewe huwa hasikilizia nyimbo zake. Ben…