Kesi ya mauaji inamrudisha tena Oscar Pistorius Mahakamani South Africa…
Kitu cha mwisho kimegusa headlines kuhusu mwanariadha wa South Africa, Oscar Pistorius ilikuwa ishu ya kuachiwa kutoka gerezani na kutumikia kifungo akiwa nyumbani kwa mjomba wake, Pretoria. Mambo huenda yakabadilika,…
Aliyemwibia Mesen Selekta? Steve RnB kwenye Band? Peter Msechu na Baba Levo? #255(+Audio)
Mesen Selekta ni producer wa Bongofleva ambaye amesema alivamiwa na kuibiwa simu na baadhi ya vifaa vya studio... mazingira ya tukio ni kwamba mtu aliyeiba alifungua dirisha akabeba vitu akatokomea…
Kidum na maisha mapya ya wokovu, sasa hivi ni yeye na Mungu tu! + (Pichaz)
Msanii wa muziki kutoka Kenya mwenye asili ya Burundi, Kidum anazikamata headlines za leo baada ya taarifa kusambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa msanii huyo mwenye hit single ya Namba…
Mipango ya Wema Sepetu atakavyoianza 2016 na msamaha kwa maadui zake ..!!
Mwaka 2015 unakaribia kuisha na baadhi ya watu wameshaanza kufanya mipango yao watakachokifanya mwaka 2016. Kwa mwaka 2015 Wema Sepetu ametajwa mara kadhaa kutokua na maelewano na baadhi ya marafiki…
Dec 3 ni Birthday ya Msuva, cheki video ya goli lake bora linalofanana na moja kati ya magoli bora ya FIFA 2014
December 3 miaka kadhaa nyuma staa na mkali wa soka wa klabu ya Dar Es Salaam Young African na timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Simon Happygod Msuva leo…
Kumbe Tundaman anatamani kuona wasanii hawa wakongwe warudi kwenye game !!
Jana December 2 2015, msanii wa Biongofleva Tundaman aliingia kwenye vichwa vya habari sehemu tofauti baada ya kutoa wimbo wake mpya unaitwa "Mama Kijacho"... Tundaman anasema kwamba sehemu ya wimbo…
Maneno ya director Hanscana kuhusu kukutana na Godfather & Justin Campos….
Siku zote nitahakikisha nakusogezea kila stori inayonifikia na hapa stori ninayotaka kukupatia ni hii Muongozaji na mtayarishaji wa video Hanscana ambaye alikuwa nchini Afrika Kusini. Mtayarishaji huyo amezungumza exclusive interview…
Pichaz za Mzee Yusuph anavyoandaa mzigo wa taarab Afrika Kusini ..!!
Imekua kawaida kwa wasanii wa Bongofleva kusafiri kwenda nje ya Tanzania ku-shoot video zao lakini hii itakua ni mara ya kwanza kwa msanii wa taarab kutua South Africa kwa ajili ya…
Ripoti kutoka Mahakama ya Kisutu kuhusu kesi ya Prof. Lipumba na wafuasi wake 30
Professor Ibrahim Lipumba alikuwa na kesi pamoja na wafuasi 30 wa CUF katika Mahakama ya Kisutu Dar es Salaam akikabiliwa na mashtaka ya kufanya mkusanyiko bila ya kuwa na kibali…
Wahusika kashfa ya trilion 1.3 watajwa, TPA na makontena DSM, Nguzo za umeme TANESCO? (Audio).
Good Morning mtu wangu ni asubuhi nyingine na kama kawaida lazima tuanze na uchambuzi wa magazeti redioni @CloudsFM... Kama ilikupita hizi ndio kubwa za leo kwenye Kuperuzi na kudadisi. Watu…