Ripoti kutoka mahakamani Nigeria kuhusu kesi ya Mchungaji T B Joshua…
Mchungaji wa Kanisa la Church of All Nations Nigeria, TB Joshua na Wakandarasi wawili ambao wanakabiliwa na mashtaka ya uzembe uliopelekea jengo la Kanisa hilo kuanguka na kusababisha vifo vya…
Wingu lilivyowafungia wachina ndani kwa muda wa siku tatu…
Headlines zimerudi China..mamlaka ya hali ya hewa imetoa tahadhari kwa watu kutoka nje baada ya kutokea uchafuzi wa mazingira ulioukumba mji mkuu wa nchini hiyo Beijing. Mji huo ambao umekuwa…
Baada ya moto wa Magufuli kupita bandarini, hii ndio idadi ya waliokamatwa mpaka sasa..
Ijumaa November 27 2015 Waziri Mkuu mpya wa Tanzania, Majaliwa Kassim Majaliwa alifanya ziara ya kushtukiza katika bandari ya Dar es Salaam na kuwasimamisha kazi maofisa watano wakihusishwa na ubadhirifu…
Safari ya mwisho kwenye mazishi ya marehemu Mawazo Geita leo.. #RIP
Viongozi wa CHADEMA pamoja na wanaCHADEMA wameungana kwa pamoja katika shughuli za mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Geita, marehemu Alphonce Mawazo ambaye aliuawa wiki mbili zilizopita. Mazishi hayo yamefanyika…
Exclusive Interview: Kassim Mganga on air with Millard Ayo (video)
Kassim Mganga ni miongoni mwa wakali wenye majina yao ndani ya bongofleva, akiwa na hits kama 'awena' 'I love you' na nyingine, alipata time na akapita TZA kwenye studio za…
Cheki video ya magoli matatu yanayowania tuzo ya goli bora la FIFA 2015 na Messi yupo …
Baada ya November 7 shirikisho la soka ulimwenguni FIFA kutangaza magoli 10 yaliofanikiwa kuingia katika mchujo wa kuchagua goli bora la mwaka 2015, November 30 ndio siku ambayo yachujwa na…
Baada ya majina 23 kuchujwa, hawa ndio mastaa watatu waliofanikiwa kuwania tuzo ya Ballon d’Or!!
Mastaa watatu wa soka duniani Cristiano Ronaldo, Lionel Messi na Neymar wamerudi kwenye headlines baada ya kuchaguliwa kushindania tuzo ya kimataifa ya mwaka ya Ballon d'Or. Huu unakuwa mwaka wa…
Daraja juu ya Bahari Dar es salaam… Rais Magufuli alivyohakikishiwa ujenzi wake leo.
Vichwa vya habari za siasa Tanzania bado vinaendelea kubeba stori kila mara kuhusu Rais Magufuli… inawezekana ni kawaida kabisa kila siku kukutana na habari zaidi ya tatu au nne kuhusu…
Kipigo cha Ethiopia chawarejesha Kilimanjaro Stars Tanzania, Full Time ya CECAFA Nov 30 …
Michuano ya mataifa ya Afrika Mashariki na Kati maarufu kama CECAFA Senior Challenge Cup yameendelea leo November 30 kwa kupigwa mechi za kwanza za robo fainali ya michuano hiyo, miongoni…
Kuna uwezekano wa Will Smith kuingia kwenye Siasa? Hii ndio mipango yake ya badaaye…
Mkali wa kuigiza movie kutoka Hollywood, Will Smith anafahamika kama mmoja ya wasanii wakubwa sana duniani, ukiachia hayo Will Smith amejijengia jina kubwa sana kwenye muziki kama rapper lakini nini…