Trey Songz kaja na surprise mixtape, ‘To Whom It May Concern’ isikilize yote hapa! – (Audio).
Hii ni kwa warembo wangu wote ambao wengi wao najua wanampenda sana staa wa muziki wa R&B,Trey Songz... Good news kwako mrembo wangu na wewe mtu wangu ambaye ni shabiki…
Chris Brown ameileta ya kwanza kwenye video kutoka kwenye Album yake mpya, ‘Fine by me’ – (Video).
Album mpya ya Chris Brown, Royalty imeanza kupatika kwa yoyote atakayeihitaji kwa kufanya pre-order yako mapema kabisa kwenye i-Tunes... na baada ya kuisogeza audio ya moja wa singles zinazopatikana kwenye…
Rais Magufuli na vigogo TRA, UDA na siku 30, Rais JPM avunja rekodi Baraza la Mawaziri, Meya DSM? – #PowerBreakfast.
Good Morning mtu wangu? Kuperuzi na Kudadisi ya @CloudsFM imekupita? Kama umepitwa na dakika 20 za uchambuzi wa magazeti redioni leo asubuhi hizi ni baadhi ya stori zilizogusa headlines kwenye…
Magazeti ya Tanzania November 30 2015 na stori zake kubwa kurasa za mwanzo na mwisho
Leo November 30 2015 nimekuwekea tena stori zote kubwa za Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu, usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook twitter…
Licha ya kuwa mahiri uwanjani, darasani walikuwa vizuri, hawa ni mastaa wa soka wanne wenye degree
Huenda unawafahamu nyota kadhaa wa soka duniani na baadhi ya vitu vyao vya thamani wanavyomiliki kutokana na vyombo vingi vya habari hupenda kuviandika na vingine huwa havizungumzwi kabisa, najua ushawahi…
Baada ya kipigo cha West Brom, Arsenal walazimishwa sare na Norwich City, Full Time ya EPL Nov 29 (+Pichaz&Video)
Mtu wangu mpenda soka najua ungependa kufahamu matokeo ya muendelezo wa mechi nne za Ligi Kuu Uingereza zilizochezwa Jumapili ya November 29. Leo zilipigwa mechi nne tu za Ligi Kuu…
Real Madrid wafuta machungu ya El Clasico kwa kuifunga Eibar, haya ndio matokeo kamili (+Pichaz&Video)
Baada ya Jumamosi ya November 28 klabu ya FC Barcelona kushuka dimbani kucheza mchezo wake 13 dhidi ya Real Sociedad na kuibuka na ushindi wa goli 4-0, November 29 ilikuwa zamu…
Bomoabomoa yaendelea Dar, unawezaje kukwepa nyumba yako isibomolewe? majibu yako hapa… (+PICHAZ)
Zoezi la kubomoa nyumba na majengo yaliyoingia ndani ya hifadhi ya miundombinu ya bomba la maji kutoka Ruvu Chini, limeendelea mwishoni mwa wiki ambapo baaadhi ya nyumba zilizokuwa zimejengwa ndani…
Majina 23 ya wanaoongoza kwa ufungaji mfululizo EPL, kabla ya Jamie Vardy kuvunja rekodi ya Van Nistelrooy Nov 28
Usiku wa November 28 mshambuliaji wa Leicester City Jamie Richard Vardy aliingia katika headlines baada ya kutumia dakika 24 za mwanzo za mchezo kati ya Leicester City dhidi ya Man United kuvunja…
Top 10 ya video zilizobamba YouTUBE katika Account ya Millard Ayo wiki hii…
Leo ni Novemba 29, 2015 nakusogezea Top 10 ya videos zilizoshika chati ya wiki katika account ya YouTUBE ya mtu wako wa nguvu Millard Ayo. 10. Dk. Mwaka na matatizo ya watu…