Burudani ya Mnigeria Patoranking alivyoikamata stage Dar..(Picha)
Ni usiku wa Novemba 27, 2015 mashabiki wa muziki walipata burudani kali kutoka kwa msanii wa Nigeria, Patoranking aliyesindikizwa na Nahreel, Vanessa Mdee, Ben Pol, Aika na wengineo Nimekusogezea hizi…
Magazeti ya Tanzania November 28 2015 na stori zake kubwa kurasa za mwanzo na mwisho
Leo November 28 2015 nimekuwekea tena stori zote kubwa za Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu, usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook twitter…
Kama wewe ni mpenda soka hizi ni mechi 19 kali ambazo hushauriwi kuzikosa weekend ya November 28 na 29 …
Hii ni kwa watu wangu wa nguvu wapenda soka la Ulaya, Ligi Kuu soka Tanzania bara imesimama ila barani Ulaya Ligi bado zinaendelea kama kawaida, Ligi Kuu Uingereza inaendelea tena…
Hii ni good news kwa Neymar na bad news kwa Cristiano Ronaldo, baada ya Neymar kutangazwa kumzidi Ronaldo…
Licha ya kuwa mwaka 2015 staa wa kimataifa wa Ureno anayekipiga katika klabu ya Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo kufanya mipango yake mingi na kwa asilimia kubwa kufanikiwa, miongoni mwa…
Baada ya utunzaji wa kumbukumbu zake kwa tattoo, Zlatan Ibrahimovic kaja na hii ya utunzaji wa magoli yake …
Ni headlines za staa wa soka anayeipeperusha vyema bendera ya Sweden na anakipiga katika klabu ya Paris Saint Germain ya Ufaransa Zlatan Ibrahimovic, ameingia katika headlines kadhaa mwaka 2015 ikiwemo…
Spidi ya Dr. Magufuli…. huu mzigo umedakwa Dar ukipelekwa China. (video)
Wizara ya mali asili na utalii ndio imechukua hatamu sasa hivi kwenye bandari ya Dar es salaam November 27 2015 baada ya kutonywa kwamba kuna ishu inaendelea, kupata stori kamili…
Kwenye Top10 ya TRACE TV…. ni moja tu ya Tanzania inashindana na za Drake, Adele na Future
Zile chati za muziki kutokea Kituo cha Television cha Kimataifa, Trace TV cha nchini Ufaransa imekamilika leo Nov 27 2015 katika Urban Top 10. Kutoka Tanzania ni ngoma moja pekee…
Part 1: Naj Exclusive Interview na asichopenda kuulizwa tena.. (video)
Naj ni msanii wa bongofleva ambaye wengi walianza kumuona kwenye video ya Tabasamu ya Mr. Blue na sasa ni msanii na nyimbo zake, makazi yake yalikua Uingereza lakini sasa hivi…
Vitatu usivyovifahamu kuhusu maisha ya soka ya Danny Mrwanda, vipi ana bifu na Simba? (+Audio)
November 27 mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee vitu vitatu exclusive usivyovifahamu kutoka kwa staa wa soka wa Tanzania aliyewahi kutamba na vilabu vya Simba na Yanga Danny Mrwanda, wengi…
Hizi ni dalili tatu za Pep Guardiola kuwa ataondoka FC Bayern Munich na kutimkia Man City …
Kocha wa klabu ya FC Bayern Munich ya Ujerumani ambaye amewahi kuifundisha kwa mafanikio klabu ya FC Barcelona ya Hispania Pep Guardiola amekuwa akihusishwa kutakiwa kujiunga na klabu ya Manchester…