Licha ya kuwa Kenya ni Bingwa mtetezi wa Kombe la Challenge, Zanzibar Heroes wamewashushia kipigo …
Michuano ya Kombe la mataifa ya Afrika Mashariki na kati maarufu kama CECAFA Senior Challenge Cup 2015, yameendelea tena leo November 27 Ethiopia, michezo iliyochezwa leo November 27 baada ya mapumziko…
Mwana FA kashea na sisi hii cover la single yake mpya ‘Asante kwa kuja’..
Kama wewe ni shabiki wa hitmaker wa single ya Mfalme,Hamis Mwinjuma a.k.a Mwana FA basi tutarajie ujio wa single mpya iitwayo Asanteni kwa kuja iliyotayarishwa chini ya producer Hermy B…
Maamuzi mengine ya Rais Magufuli baada ya ziara ya Waziri Mkuu bandarini..
Leo Waziri mkuu Majaliwa Kassim amefanya ziara ya kushtukiza bandarini na kuwasimamisha kazi maofisa watano kutoka katika vitengo mbalimbali kutokana na upotevu wa makontena 349 ambayo thamani ya kiasi cha shilingi…
Weekend playlist yako iwe na hii mpya ya T-Pain: ‘Or Wut’ feat Plies – (Audio)
Kwenye headlines za burudani wiki hii hatuwezi kuacha kuzitaja haedlines za T-Pain ambaye siku chache aliwatangazia mashabiki wake kuwa Album yake mpya Stoicville: The Phoenix itachelewa kutoka na badala ya…
Siku mbili kabla ya mazishi ya marehemu Mawazo, hii ndio mipango ya CHADEMA Mwanza.. (+Audio &Picha)
Ni zaidi ya wiki moja na nusu kumekuwa na habari zikichukua uzito kwenye vyombo vya habari kuhusu mauaji ya kiongozi wa CHADEMA Geita, Marehemu Alphonce Mawazo... kilichochukua muda mrefu zaidi…
Navykenzo wanakuja na Album mwaka 2016,lakini huu ni utofauti wa album yao na album zingine #Mauzo.
Mwaka 2015 ni mwaka uliotangazwa na wasanii wengi wa Bongo Fleva kutoa album zao,lakini mpaka mwezi wa 11 mwaka huu hakuna msanii ambaye kafanikiwa kuachia album licha ya baadhi ya…
Wizara ya Maliasili ina haya matatu baada ya makontena ya Magogo kukamatwa bandarini…
Idadi ya makontena 31 yaliyobeba magogo yamekamatwa katika bandari ya Dar es salaam yakidaiwa kutokea Zambia. Wizara ya Maliasili na Utalii baada ya kupata taarifa hiyo kupitia vyombo vyake vya…
Kumbe Dullysykes ilikua awe Mwanajeshi?ilikuaje hakwenda Jeshini tena?Majibu haya hapa.
Zipo stori ambazo huwa zinazungumzwa na kubaki kwenye kumbukumbu za Maisha yetu labda kutokana na kile ambacho uliamini kilikua sahihi kwa wakati huo,Leo Mkongwe kwenye muziki wa Bongo Fleva Prince…
Dakika 6 za Barnaba na alichokishuhudia kwa Jose Chameleone studio usiku
Kujua yote haya aliyoyaona Barnaba unaweza kubonyeza play kwenye hii video hapa chini... haya yote Barnaba aliyaona kwa Jose Chameleone baada ya wawili hawa kuingia kwenye studio ya Barnaba Dar…
Picha nne za The Game zilizosababisha Instagram kutoa onyo la kufuta account yake!!
Rapper aliyekuwa anaunda kundi la muziki la G Unit, The Game aliingia kwenye headlines siku chache zilizopita baada ya kupost picha akiwa nusu mtupu kwenye page yake ya Instagram, lakini…