Jina la mgombea mwingine wa Urais FIFA limeondolewa kwenye orodha…
Uchaguzi mkuu wa Shirikisho la soka duniani unatarajiwa kufanyika Februari 26, 2016 na tayari viongozi mbalimbali wamejitokeza kuwania nafasi ya Urais iliyokuwa ikishikiliwa na Sepp Blatter. Musa Bility raia wa…
TBT Pichaz 6 za utoto za Lionel Messi wa FC Barcelona ambazo huenda hujawahi kuziona …
Lionel Messi ni mmoja kati ya wachezaji wa viwango vya Dunia lakini sifa ya kipekee aliowahi kuipata ni kuweka rekodi ya kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa Dunia mara nne,…
Kero za Hospitali, Polisi na ofisi nyingine za umma zinamalizwa hivi mezani kwa DC Paul Makonda.. (Audio)
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda leo amenisogezea stori nyingine na kikubwa anachokigusia ni kuhusu kuzindua huduma kwa wananchi ambazo zitawasaidia kwenye maeneo mbalimbali, najua ni wengi wanakutana na matatizo kwenye…
Yamoto Band wanaikamata Nigeria time hii wako na Bracket…(Audio)
Baada ya kufanya vizuri kwenye hit single ya Cheza kwa Madoido sasa time hii Yamoto Band wamefanya collabo na wasanii kutokea Nigeria maarufu kama Bracket. Akizungumza kwenye exclusive interview na…
Ali Kiba na Christian Bella wanakukaribisha uisikilize ngoma yao mpya, ‘Nagharamia’ (Audio)
Hii ni collabo ambayo imewakutanisha wakali wawili ambao wote wamejivisha vyeo vya Ufalme, Ali Kiba a.k.a 'King Kiba' pamoja na Christian Bella a.k.a 'King of the Best Melodies'. Wimbo unaitwa…
Masanja na Ubunge Ludewa? Richard wa Big Brother anarudi na movie? #255 (+Audio)
Tayari tuna stori kuhusu Mchekeshaji Masanja kushindwa kwenye Ubunge Jimbo la Ludewa ambapo matokeo ya kura za maoni yameonesha jamaa anashika nafasi ya tatu... Masanja amesema kashindwa lakini anajipanga kwa…
Said Fella alitaka kuacha kusimamia TMK Wanaume Family?, Mh Temba kayazungumza haya….
Stori ninayotaka kukusogezea ni hii kutoka kwa msanii Mh.Temba amezungumza kwenye exclusive interview kuhusiana na Mkurugenzi wao Said Fella kutaka kuacha kuwaongoza mwaka 2013. Akiongea na ripota wa millardayo.com alisema..'2013…
Kampeni za Ubunge Arusha zimeanza, Mbunge Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, Godbless Lema kwenye jukwaa moja… (+Pichaz)
Tume ya Uchaguzi Tanzania NEC tayari imekamilisha kazi ya kuweka utaratibu mzima wa Uchaguzi mwingine wa Wabunge na Madiwani kwenye baadhi ya maeneo ambayo Uchaguzi haukufanyika. Jimbo la Arusha Mjini…
The Game kalipwa pesa na hakutokea kwenye show… Mahakama haijamwacha hivihivi!
Msanii wa muziki wa HipHop, The Game amejikuta matatani baada ya promoter kwenda Mahakamani na kufungua kesi ya madai dhidi yake. Kwa mujibu wa kampuni ya Dream Team Entertainment, LLC,…
Video 10 enzi hizo mastaa kwenye ubora wao >>> Mr. Blue, Ferooz, Ali Kiba, Dully Sykes, Marlaw na wengine..
Tukiizungumzia Bongo Fleva kule ilikotoka kuna majina ambayo huwezi kuyakosa kwenye list, lakini kazi kubwa imefanyika mpaka imefikia hatua kwenye radio na TV kubwa nje ya TZ zimeupokea na kuukubali…