Uwanja mpya wa ndege Dar es salaam… utazame kwenye hizi sekunde 30.
Tayari Rais wa awamu ya nne Jakaya Kikwete alishaweka baraka zake kwenye ujenzi wa uwanja mpya wa ndege wa kimataifa Dar es salaam na ujenzi ukaendelea na mpaka sasa hatua…
Adele amtolea nje Beyonce kwenye collabo?! sababu? Beyonce amelipokeaje hili!
Msanii yoyote akifatwa sasa hivi na kuambiwa "Beyonce anataka kufanya collabo na wewe.." kwa asilimia mia jibu litakuwa ndio tena kwa herufi kubwa NDIO!! Lakini hii sio ndoto kubwa kwa…
Lowassa jukwaani Arusha, Rais JPM na vigogo? TRA na wakwepa kodi? Uchaguzi wa Mbunge Arusha? (Audio)
Good Morning mtu wangu asubuhi yako inaendaje? Inawezekana uchambuzi wa magazeti @CloudsFM umekupita, pengine ulikuwa busy na hukuzipata zote kwenye kuperuzi na kudadis redioni ila nilizozirekodi zote ziko hapa. Wajawazito…
Magazeti ya Tanzania leo Novemba 12, 2015 yameamka na hizi kwenye Udaku, Michezo na hardnews
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Alhamisi Novemba 12, 2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews,…
Jinsi kilivyo happen kwenye birthday party ya Mh.Temba Nov 11…(Picha)
Sherehe za birthday nazo zina uzito wake, Unaambiwa Mh.Temba mwimbaji wa Bongo Fleva kutoka Mkubwa na Wanae alifanya Birthday party yake Novemba 11, 2015 akawaalika watu mbalimbali wakiwemo Ma Dj na wasanii wenzake.…
Baada ya kocha mkuu wa Simba kutoelewana na msaidizi wake, haya ndio maamuzi ya Matola …
Klabu ya soka ya Simba inayonolewa na kocha muingereza Dylan Kerr huku msaidizi wake akiwa Selemani Matola imezidi kuingia katika headlines baada ya zile tetesi za muda mrefu kuthibitika rasmi…
Stori za Yanga kumsajili Hassan Kessy wa Simba, kuachwa Andry Coutinho majibu ndio haya
Ikiwa Ligi Kuu soka Tanzania bara imesimama kupisha mchezo kati ya Taifa Stars dhidi ya Algeria na kupisha michuano ya Kombe la Challenge hadi December 12, homa ya dirisha dogo…
Exclusive ya Abdi Kassim Babi kutoka Malaysia kamaliza mkataba wake hii ndio mipango yake (+Audio)
November 11 millardayo.com ilifanya exclusive interview na kiungo wa kimataifa wa Tanzania anayecheza soka la kulipwa Malaysia katika klabu ya UiTM Abdi Kassim Sadallah ambaye amewahi kutamba katika vilabu kadhaa…
Polisi walivyoishtukia ndoa ya mtoto wa miaka 14 na mwingine miaka 17 Katavi
Hii stori imegusa kwenye vichwa vya habari za Magazeti ya Tanzania November 11 2015, lakini reporter wa millardayo.com amempata Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, na kasimulia stori ilivyokuwa mwanzo…
Mabibi na mabwana video ya Joh Makini Feat. AKA – Don’t Bother ndio hii tumeletewa.
Hii ngoma audio yake ilifanyika hapahapa Tanzania mwishoni mwa mwezi April 2015 wakati ambao rapper AKA alitua baada ya kupata mwaliko wa party ya Zari All White iliyoandaliwa na mastaa…