Matatu kutoka kwa Mbunge mwenye elimu ya darasa la saba.. Uzoefu, shule? Bunge?
Kama hujawahi kukutana na kichwa cha habari kinamchomtaja Jumanne Kishimba, basi taarifa ikufikie kwamba kwenye list ya Wabunge wataowakilisha Dodoma kwenye Bunge la 11 na yeye yumo. Jumanne Kishimba ni…
Siku moja baada ya Dk. Magufuli kwenda Muhimbili Hosp.. nini kimefata kwenye zile mashine?
Jana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Magufuli alifanya ziara ya kushtukiza katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili sambamba na kumsimamisha kazi kaimu Mkurugenzi Mkuu wa hospitali hiyo…
Wachezaji wa Man United kama wanafunzi, hili ndio jina la utani walilomtunga Louis van Gaal …
Utamaduni wa wanafunzi kuwatunga majina waalimu wao ulikuwepo toka zamani na mara nyingi mwalimu anaweza kutungwa jina ambalo yeye halijui ila kutokana na tabia na muonekano wake basi wanafunzi hupenda…
Ni Joh Makini na AKA kwenye MTV na new video..!!
Kingine ambacho nimekishuhudia kama kipya kwenye channel kubwa ya muziki Afrika MTV BASE ni hii video mpya ya Joh Makini iitwayo 'Don't Bother' aliyomshirikisha AKA ambayo imechezwa kwa mara ya kwanza…
Dr. Magufuli anaweza kumteua waziri mkuu kutoka chama cha upinzani ?!! jibu lake ninalo hapa
Kwenye countdown zenye headlines za siasa bado macho na masikio ya wengi yako kwenye maeneo machache sasa hivi, nani atateuliwa na Rais kuwa waziri mkuu Tanzania? nani spika wa Bunge…
Zlatan Ibrahimovic kwenye headlines alivyoibeba tuzo yake kwa mara ya 9 mfululizo …..
Ni wazi sasa mshambuliaji wa kimataifa wa Sweden anayekipiga katika klabu ya Paris Saint Germain ya Ufaransa Zlatan Ibrahimovic hana mpinzani na atakumbukwa kwa muda wote kutokana na rekodi yake…
Majibu mengine ya Diamond Platnumz baada ya kuulizwa kuhusu Ndoa….
Inawezekana ulikuwa na maswali mengi kuhusu mipango ya harusi ya staa wa Bongo Fleva Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz na Zari sasa basi ameyajibu kupitia kipindi cha Mseto cha Citizen…
Ukimya wa Steve RNB kwenye headlines za Bongo Fleva, kayajibu haya….
Ni staa wa bongofleva ambae hits zilizompa headlines ni pamoja na ‘Tabasamu‘ aliyoshirikishwa na Mr. Blue, msanii huyo tangu afunge ndoa October 11 2014 amekuwa kimya katika tasnia ya Bongo…
Pichaz na video ya Wayne Rooney alivyohudhuria pambano la mieleka na kumpiga kibao nguli wa mchezo huo ….
Mshambuliaji na nahodha wa timu ya taifa ya Uingereza anayekipiga katika klabu ya Manchester United ya Uingereza Wayne Rooney usiku wa November 9 alihudhuria pambano la mieleka. Rooney alihudhuria pambano…
Ramani ya Luteni Kalama South Africa? Steve Nyerere na JB wamelishwa sumu? Majibu haya hapa..
Gangwe Mobb ni kundi ambalo kama ukiitaja safari ya Bongo Fleva Tanzania, huwezi kuacha kulitaja kundi hilo lililoundwa na Luteni Kalama pamoja na Inspector Haroun. Luteni Kalama amesimulia kwamba kuna time…