Magazeti ya Tanzania leo Novemba 8, 2015 yameamka na hizi kwenye Michezo na hardnews
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumapili Novemba 8, 2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Michezo na Hardnews, zote…
Rais wa Corinthians athibitisha Alexandre Pato kuwa sokoni, hii ndio klabu ya Uingereza inayotajwa kumsajili…
Ikiwa bado siku kama 60 kuweza kufikia January ya mwaka 2016 wakati ambao vilabu kadhaa barani Ulaya vitakuwa vikihusishwa kusajili wachezaji kutokana na kuwa ni wakati ambao dirisha dogo la…
Video: Kutoka kwenye birthday ya Queen Darleen.. Mwasiti, Diamond, Shetta na wengine pembeni.
Ilikua ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kwa mwimbaji wa bongofleva Queen Darleen ambaye ni dada wa mwimbaji Diamond Platnumz, unaweza kutazama ilivyokua kwenye hii video hapa chini. https://www.youtube.com/watch?v=HmSlkhoa6r0 Unataka…
Video: Mambo manne ya kufahamu kuhusu Kayumba wa BSS 2015
Kutana na dakika 7 za Kayumba ambaye ni mshindi wa shindano la Bongo Star Search 2015, kwenye hii video hapa chini Kayumba ametupa mambo manne ambayo hatukuwa tunayafahamu kutoka kwake.…
Full Time ya Stoke City Vs Chelsea November 7 (+Pichaz&Video)
lkiwa huu unatajwa kuwa mwaka mbaya kwa kocha wa Chelsea Jose Mourinho kutokana na mwenendo mbovu wa kikosi chake msimu huu, walilazimika kusafiri kuifuata klabu ya Stoke City kucheza mchezo wake…
Full Time ya Manchester United Vs West Bromwich na matokeo ya mechi nyingine za Ligi Kuu Uingereza November 7 (+Pichaz&Video)
November 7 Ligi Kuu Uingereza imeendelea tena kwa michezo kadhaa kupigwa katika viwanja tofauti tofauti Uingereza, klabu ya Manchester United iliyokuwa nafasi ya nne katika msimamo wa Ligi Kuu Uingereza…
Umahiri wa Cristiano Ronaldo haujaishia uwanjani pekee mcheki hapa akiimba wimbo wa Rihanna (+Video)
Bado naendelea kukupa headlines za staa wa soka wa klabu ya Real Madrid ya Hispania na timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo, staa huyo anafahamika kwa jitihada zake uwanjani na…
Video: maamuzi mapya ya Linah toka alivyopishana kauli na Wema Sepetu.
June 2015 mwimbaji wa bongofleva Linah aliingia kwenye headlines za kupishana kauli na mwigizaji Wema Sepetu baada ya kusemekana kalalamika kwenye Radio na kueleza kutoridhishwa kwake na kitendo cha Wema kumchukulia boyfriend…
Toilet Cafe? Yes.. hii ndio Moscow, kiti, bakuli vyote kwenye umbile la choo Mgahawani.. +(Video)
Nyumba nyingi huwezi kukutana na jiko lililo karibu kabisa na choo, kwa sababu hata matumizi ya sehemu hizo mbili yako tofauti... vipi hii ya jiko na choo kwenye chumba kimoja…
Jamaa na mswaki wake ndani ya treni Uingereza.. hana habari na mtu yani !! (Video)
Kama ingekuwa ni show ya comedy tungesema sawa, jamaa wako location.. au ingekuwa movie pia isingekuwa story kwa sababu jamaa yuko kwenye kazi yake !! Sio movie wala comedy, jamaa…