Jamaa na mswaki wake ndani ya treni Uingereza.. hana habari na mtu yani !! (Video)
Kama ingekuwa ni show ya comedy tungesema sawa, jamaa wako location.. au ingekuwa movie pia isingekuwa story kwa sababu jamaa yuko kwenye kazi yake !! Sio movie wala comedy, jamaa…
Stori kubwa nje mpaka ndani ya Magazeti 8 ya Tanzania zilizosogezwa kwenye #Tweets
Kama hujakutana na kilichoandikwa nje mpaka ndani ya Magazeti ya TANZANIA November 7 2015, hizi hapa Tweets nilizogusa kurasa zote Magazeti nane. Good Morning mtu wa nguvu !! Kutoka…
Magazeti ya Tanzania leo Novemba 7, 2015 yameamka na hizi kwenye Udaku, Michezo na hardnews
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumamosi Novemba 7, 2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews,…
FIFA yatangaza magoli 10 bora duniani yanayowania tuzo ya Puskas 2015 (+Video)
Puskas Award ni tuzo ambayo ilianzishwa October 20 mwaka 2009 na shirikisho la soka duniani FIFA kwa amri ya Rais wa FIFA Sepp Blatter, tuzo hii uhusisha magoli bora kwa…
Tumezoea kusikia timu zikifanya ushirikina, kuelekea mchezo wa fainali TP Mazembe na mashabiki wao wameamua hivi (+Audio)
Klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Jumapili ya November 8 itacheza mchezo wake wa pili wa fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika na USM Alger ya…
Danny Mrwanda kaeleza sheria na adhabu za mtu akizini ndani ya Kuwait… (+Audio)
Kama kawaida mtu wangu wa nguvu millardayo.com inakusafirisha kimawazo na kukufanya ujue mambo na tamaduni za nchi tofauti tofauti ili hata kama utaamua kwenda kutembea au kwenda kuweka makazi inabidi uvijue,…
Shuhuda aeleza jinsi Rais JPM alivyoingia Wizara ya fedha…..(Audio)
Ni siku moja baada ya Rais Magufuli kukabidhiwa kiti cha Urais ameanza kazi yake kwa surprise, Rais JPM amekatisha kwa mguu kutoka Ikulu mpaka Wizara wa Fedha maeneo ya Posta…
Rekodi za Wasanii wa Tanzania wanapokwenda kwenye show Marekani
Nakukutanisha na Promota DMK, Mtanzania anayeishi na kufanya kazi Marekani, yeye na wenzake ndio wamekua wakipeleka Wasanii wa Tanzania kwenda kufanya show Marekani kuanzia Mr. Nice aliyekua msanii wa kwanza…
Hii ni Top 5 ya wachezaji bora kwa upande wa Cristiano Ronaldo …
Cristiano Ronaldo ambaye ni mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno anayekipiga katika klabu ya Real Madrid ya Hispania ameingia kwa mara nyingine katika headlines baada ya kutaja wachezaji watano watakaofanya vizuri…
Picha 7 za JK alivyoagwa Ikulu.. Rais JPM ofisini na ziara ya kushtukiza Wizarani..
Hizi picha ni mkusanyiko wa matukio makubwa matatu Tanzania leo November 6 2015... Rais John Pombe Magufuli tayari kaanza kazi !! Naanza na pichaz za Rais Mstaafu JK alivyoagwa Ikulu…