Utapenda kuiona behind the scenes ya video mpya ya Tinashe; ‘Player’ feat. Chris Brown – (Video)!
Wakati tukiwa tunaendelea kuisubiri official music video ya Player ya kwake Tinashe feat Chris Brown, msanii huyo mwenye miaka 22 ameona itakuwa poa zaidi kama akiisogeza kwetu behind the scene…
Rubani mdogo wa kike na rekodi zake alivyorusha ndege Marekani akiwa na miaka 15.. (+Video)
Kuna wakati unaweza usione kipaji au uwezo wa mtoto wako, lakini kuna umuhimu mkubwa kuwa karibu na mtoto kwa sababu anaweza kuwa na kipaji na uwezo mkubwa kuliko vile ambavyo…
Lipstick za Wema Sepetu? Tuzo ya Ommy Dimpoz Marekani? Kumbe Mr. Blue angeacha muziki ?!! (255)
Jana staa wa Bongo, mrembo Wema Sepetu alifanya party ya Birthday yake ambapo alialika watu wengi kufurahi naye kwenye sherehe hiyo... mbali ya kujizawadia gari kali kabisa aina ya Range Rover, Wema…
Watu wawili walivyochomwa moto Buguruni baada ya kuhusishwa na wizi wa bodaboda… #Hekaheka (Audio)
Kumekuwa na ripoti za wizi wa bodaboda kutoka sehemu mbalimbali, tukio limegusa kwenye Hekaheka ya 'Leo Tena' inatokea Buguruni… madereva wa bodaboda wamewakamata watu wawili, mwanamke na mwanaume wakidai wanahusika…
Mchina kanaswa kwenye video akiiba madini, sababu ya wizi kumbe ni ndoa..?!! (Video)
Kuna umuhimu hata nyumbani kwako kama uwezo unaruhusu unaweka Camera za CCTV ambazo hata kama haupo nyumbani, zinaweza kukurekodia picha au video ya ushahidi mzuri wa tukio lolote baya ikiwa…
JK na hatma ya Z’bar, KAFULILA kwenda mahakamani, LIPUMBA aibuka..#MAGAZETINI NOV.2
MWANANCHI Wakati sintofahamu juu ya hatima ya uchaguzi visiwani Zanzibar ikiendelea, Rais Jakaya Kikwete ameiamuru ofisi yake kusaidia kufanikisha mazungumzo baina ya mgombea wa urais wa CUF Maalim Seif Sharif…
Maneno ya mke wa Marehemu wiki tatu baada ya msiba wa Deo Filikunjombe
Tanzania bado iko kwenye majonzi baada ya msiba wa aliyekuwa mbunge wa Ludewa, Deo Haule Filikunjombe pamoja na Rubani Captain William Silaa na watu wengine wawili Egid Nkwera pamoja na Cassablanca Haule waliofariki…
Video: Birthday party ya Wema Sepetu na Range Rover aliyojizawadia
Sherehe za birthday nazo zina uzito wake, Unaambiwa Wema Sepetu ambaye ni mwigizaji wa Bongo Movie alifanya Party yake Novemba 1, 2015 akawaalika mastaa wengi kutoka Bongo Movie na Bongo Fleva, kiukweli ilipendeza…
Lipumba na ZEC, Rais JK? Hali ya Z’bar? Kilichoharibu kura laki nne TZ? #StoriKUBWA (+Audio)
Good Morning mtu wangu, ni jumatatu nyingine na kama kawaida lazima tuanze na Uchambuzi wa Magazeti @CloudsFM. Inawezekana baadhi ya stori kubwa kwenye kuperuzi imekupita, nimezisogeza zile zote za leo…
Pichaz za Birthday Party ya Wema Sepetu, mastaa wa Bongo nao ndani !!
Sherehe za birthday nazo zina uzito wake, Unaambiwa Wema Sepetu ambaye ni mwigizaji wa Bongo Movie alifanya Party yake Novemba 1, 2015 akawaalika mastaa wengi kutoka Bongo Movie na Bongo Fleva, kiukweli ilipendeza…