Kwa mwenendo wa Chelsea vipi Jose Mourinho anafikiria watamaliza Top 4? hili ndio jibu lake…
Ikiwa masaa kadhaa yamesalia kabla ya klabu ya Chelsea ya Uingereza kucheza mechi na Liverpool katika uwanja wake wa nyumbani wa Stamford Bridge, huu utakuwa mchezo wa kumi na moja…
Pale ambapo Mchungaji anaamua kubebwa juujuu kwenye kiti wakati wote wa Ibada.. (Video)
Hiki ni kipande cha video ambacho nimekipata kwenye channel ya KTN Television ya Kenya, hakuna maelezo ambayo yametolewa kuhusu Kanisa lilipo wala tukio lilitokea lini !!.. Mchungaji kabebwa juujuu kwenye kiti na…
Majibu ya Louis van Gaal baada ya kupondwa na Paul Scholes…
Kocha wa klabu ya Manchester United Louis van Gaal ambaye wengi wamekuwa wakihoji juu ya mahusiano yake na wachezaji wa timu yake pamoja na aina ya mbinu anazotumia kuifundisha timu…
Baada ya miaka 7 ya ukimya, Akon amerudi na hii mpya; ‘Whole Lot’ feat. Migos – (Audio)!
Mara ya mwisho umenunua Album ya Akon ilikuwa lini?! Amini, usiamini imepita miaka saba toka Akon aziandike headlines kwenye kurasa za burudani! yes, miaka saba toka Akon aachie Album yake…
Ratiba ya mechi za Ligi Kuu Tanzania bara, Uingereza na Hispania October 31 na November 1
Tukiwa bado katika muendelezo au mfululizo wa mechi mbalimbali za soka, naomba nikusogezee ratiba ya mechi za Ligi Kuu Tanzania bara, Uingereza na Hispania zitakazochezwa weekend hii, Ligi Kuu Tanzania…
Dk. Magufuli na Mama Samia wamepewa vyeti vya Urais.. picha kuanzia ukumbini mpaka Ofisi za CCM.
Jina la aliyekuwa Waziri Ujenzi, Dk. John Pombe Magufuli lilianza kubeba headlines za uzito zaidi kipindi ambacho na yeye alitangaza kuingia kwenye mchakato wa kugombea Urais kwa kuchukua Fomu kutoka Makao…
Prof. Jay na Ubunge !! Mpya ya Nikki wa Pili? Joh Makini na Tuzo ya Diamond je? (#255)
Professor Jay ni mmoja wa rappers waliojitahidi kuwekeza nguvu nyingi kwenye Bongo Fleva, lakini 2015 aliamua kubadili nguvu hizo kwa kuwekeza zaidi kwenye Siasa… Kagombea Ubunge wa Jimbo la Mikumi…
#GoodNews ‘Game’ ya Navy Kenzo feat. Vanessa Mdee yagusa nafasi ya juu kwenye chati ya Trace Nigeria!
Tanzania ina kila sababu ya kujivunia na muziki wao mtu wangu kwani wasanii wetu wanazidi kuiwekea heshima nchi yetu pamoja na muziki wetu kwa ujumla na utakubaliana na mimi kuwa…
Kila wiki Ty Dolla $ign atoa single mpya, wiki hii anaisogeza; ‘Sitting Pretty’ feat. Wiz Khalifa – (Audio)!
Rapper na Producer Ty Dolla $ign amekuwa akiziandika headlines za burudani kila mwisho wa wiki kwa kuachia single mpya kuelekea uzinduzi wa Album yake mpya Free TC, inayotegemea kuwa sokoni…
Pale ambapo Walimu waliamua kujinyonga kwa kukosa mshahara Kenya..
Kulikuwa na ripoti mfululizo kuhusu ishu ya migomo ya Walimu Kenya wakidai nyongeza ya mishahara… hiyo ni moja ya stori ambayo imeripotiwa sana wiki chache zilizopita. Chama cha Walimu Kenya…