Milango ya Cinema iko wazi leo Dar es salaam na Arusha, movie zinazoonyeshwa nimekuwekea hapa na Trailer
Najua nina watu wangu ambao wanapenda kwenda Cinema kila weekend inapofika, kama upo Dar es salaam na Arusha ratiba ya movie na Trailers zake nimekuwekea hapa mtu wangu. Location ni…
Magazeti ya Tanzania leo October 30, 2015 yameamka na hizi kwenye Udaku, Michezo na hardnews
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Ijumaa Octoba 30, 2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews,…
Kauli ya Paul Scholes kuhusu mfumo wa Louis van Gaal Man United, angependa kucheza chini ya kocha huyo?…
Klabu ya Manchester United ya Uingereza Usiku wa October 28 ilitolewa rasmi katika michuano ya Kombe la Capital One na Middlesbrough kwa mikwaju ya penati 3-1 baada ya kucheza kwa dakika…
Ziko hapa picha 10 za Dr. Magufuli akiwa Ikulu baada tu ya kutangazwa mshindi wa Urais
Ni siku ambayo tayari historia imeandikwa kwenye vichwa vya Habari za Siasa Tanzania ambapo Dk. John Pombe Joseph Magufuli ametangazwa kuwa mshindi wa kiti cha Urais kwenye Uchaguzi mkuu uliofanyika…
Full video ya Dr. Magufuli alivyotangazwa mshindi wa urais Tanzania 2015
Video yote unaweza kuitazama kwa kubonyeza play hapa chini... https://www.youtube.com/watch?v=i5xnA4ENbJQ
Full Time ya JKT Ruvu Vs Azam FC na matokeo ya mechi nyingine za Ligi Kuu October 29 (+Pichaz)
Ligi Kuu soka Tanzania bara iliendelea tena leo October 29, hii ikiwa ni siku moja imepita toka tushuhudie michezo sita ikichezwa Jumatano ya October 28. Leo October 29 zimepigwa mechi…
Wakati Dr. Magufuli katangazwa mshindi Urais, haya yametoka kwa Edward Lowassa.
https://www.youtube.com/watch?v=1sv_IfkDWeY Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika 'AYO' tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio…
Kuanzia wa kwanza mpaka wa mwisho… asilimia mpaka idadi ya kura za matokeo yote ya Urais 2015 Tanzania
Dr. John Pombe Magufuli wa (CCM) ametangazwa mshindi wa kiti cha urais kutoka kwenye uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2015 ambapo ameongoza kwa zaidi ya asilimia 50, matokeo kamili ndio haya…
Edward Lowassa mbele ya waandishi wa habari baada ya matokeo ya Uchaguzi
'Leo tarehe 29, October 2015 kupitia Mgombea mwenza Mh, Juma Duni Haji aliwasilisha rasmi malalamiko kuhusu mwenendo mzima wa uchaguzi mkuu wa 2015 kwa mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya…
Idris kajibu haya kuhusu picha za Wema na jamaa wa Big Brother… U Heard (+Audio)
Kuna pichaz ambazo zimesambaa mitandaoni zinazowaonesha mrembo Wema Sepetu na Luis Munana ambaye ni mshiriki wa Big Brother wanaonekana kama watu ambao wana uhusiano wa kimapenzi. Soudy Brown anasema amewatafuta Wema…