Dakika 10 za Maalim Seif Sharif Hamad na Prof. Lipumba baada ya uchaguzi Zanzibar kufutwa.. (+Audio)
Baada ya Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar, ZEC kutangaza kufuta matokeo ya Uchaguzi mkuu wa Zanzibar October 28 2015, Kiongozi wa zamani wa chama cha CUF, Professor Ibrahim Haruna…
Lina kathibitisha ujio wa video mpya baada ya ‘No Stress’…(+Audio)
Stori ninayotaka kukusogezea ni hii kutoka kwa msanii wa kike wa Bongo Fleva, Linah Sanga ambaye anatarajia kuja na video ya single mpya iitwayo Happy Day itakayotayarishwa na ma director…
Mambo tisa yaliyofanya matokeo ya uchaguzi mkuu Zanzibar kufutwa… (Audio)
Wakati kukiwa na mfululizo wa stori za Siasa kuhusu matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika nchi nzima, yani Tanzania bara na visiwani Zanzibar siku yaOctober 25 2015, imekuja taarifa ya tofauti…
Matokeo mengine ya kura za Urais 2015, time hii ni kutoka Dar, Mwanza, Manyara, Geita na kwengine
MPAKA SASA MATOKEO YA MAJIMBO 195 YAMESHATOLEWA HIVYO YAMEBAKI 69 ILI MSHINDI ATANGAZWE. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika…
Full Time ya Simba Vs Coastal Union na matokeo ya mechi nyingine za Ligi Kuu October 28 (+Pichaz)
Ligi Kuu soka Tanzania bara iliendelea leo October 28 kwa michezo sita kupigwa katika viwanja tofauti Tanzania. Uwanja wa Taifa Dar Es Salaam wekundu wa Msimbazi Simba walikuwa wenyeji wa wagosi…
Simon Msuva hakushiriki kupiga kura Uchaguzi Mkuu 2015?, kayasema haya…(+Audio)
Tukiwa bado kwenye headlines za Uchaguzi Mkuu 2015 stori ninayotaka kukusogezea ni hii kutoka kwa mchezaji wa Yanga, Simon Msuva akizungumza na ripota wa millardayo.com sababu zilizomfanya kutoshiriki kupiga kura…
Top 10 ya Rnb ya Trace TV Octoba 28, 2015…..
Najua kuna watu walikuwa na hamu ya kufahamu video zinazofanya vizuri duniani na zilizofanikiwa kuchukua nafasi kwenye countdown za nchi kubwa. kwa mara nyingine tunajiunga na kituo cha TV cha…
Toka yameanza kutangazwa, hizi ni video 9 za matokeo ya kura za Urais uchaguzi 2015 haitakiwi zikupite.
https://www.youtube.com/watch?v=CdQL4-JDM2k Mpaka sasa tume ya taifa ya uchaguzi imetangaza matokeo ya kura za Urais kutoka MAJIMBO 195, yamebaki 69. https://www.youtube.com/watch?v=MtQWRRqKO9g https://www.youtube.com/watch?v=NsXXcECxfEs https://www.youtube.com/watch?v=cSSAR1VNtRM https://www.youtube.com/watch?v=TiXAePHo234 https://www.youtube.com/watch?v=d26eWZjG6T4 https://www.youtube.com/watch?v=ZAtAqozb5oA https://www.youtube.com/watch?v=TPoTAklFpmE https://www.youtube.com/watch?v=cQaHBvIwO1A Unataka kutumiwa MSG…
Video: Kwa dakika zako 6 tu tazama matokeo ya kura za Urais 2015 Tanzania (majimbo 51)
Kazi ya reporter wako Millard Ayo ni kukukutanisha na ripoti zote kubwa za siku hivyo kukupa uhuru wewe wa kuendelea na mambo mengine ukijua yote yaliyokupita ulipokuwa busy, utakutana nayo…
Drake aelezea kufanana kwa wimbo wake wa ‘Hotline Bling’ na ‘Cha Cha’ wa D.R.A.M..!
Kumekuwa na maneno mengi baada ya Drake kuachia video ya wimbo wa Hotline Bling, licha ya mashabiki wengi kuipenda video ya msanii huyo wapo pia waliojitokeza kusema kuwa Drake kaiba…