Kauli ya Tume ya uchaguzi kuhusu Tanzania bara baada ya matokeo yote ya Zanzibar kufutwa.
Ni headlines baada ya headlines kwenye uchaguzi mkuu wa Tanzania, baada ya tume ya uchaguzi Zanzibar kutangaza kuyafuta matokeo yote ya uchaguzi Zanzibar, tume ya taifa ya uchaguzi imesema pamoja…
August Alsina anaileta kwako single yake mpya; ‘Song Cry’ – (Audio)!
Msanii wa muziki wa R&B Marekani, August Alsina anaziandika headlines za kwenye kurasa za burudani na ujio wa single yake mpya iliyopewa jina 'Song Cry'. Wimbo umesimamiwa na Producer Brandon…
Mambo 20 yaliyotamkwa na Edward Lowassa (UKAWA) na January Makamba ( CCM) leo Oct 28.
MALALAMIKO YA CCM KUHUSU MATOKEO KWENYE BAADHI YA MAJIMBO 1: Chama cha Mapinduzi hakijaridhishwa na utaratibu wa kukusanya na kujumlisha matokeo kwenye baadhi ya majimbo, katika majimbo manne kumekuwa na…
Baada ya ukimya wa miaka miwili, Kelly Rowland amerudi na hii mpya; ‘Dumb’ – (Audio)!
Imepita miaka miwili toka msanii wa muziki wa R&B Marekani, Kelly Rowland aonekane kwenye headlines za burudani. Ndani ya miaka hiyo miwili Kelly amefunga ndoa na manager wake, amepoteza mama…
Gari ya Shilole imegongwa, Soudy Brown pembeni akainasa ishu yote… (+Audio)
Shilole anarudi tena kwenye U Heard ya Soudy Brown, hii sio mara ya kwanza Shilole kusikika kwa 'Gossip Cop' !! Ishu ilitokea maeneo ya Mikocheni Dar, kwa bahati mbaya jamaa…
Story za Afande Sele na Kala Pina kwenye Ubunge, Mkubwa Fella kwenye Udiwani.. (255 +Audio)
Afande Sele nae aliingia kwenye vichwa vya habari kuamua kujihusisha na Siasa... mambo hayakuwa mazuri, Kura hazikutosha na hajafanikiwa kuuchukua ushindi wa Jimbo la Morogoro mjini. Afande amesema anauweka muziki…
BREAKING NEWS: Maamuzi mapya kuhusu matokeo ya uchaguzi Zanzibar 2015
Matokeo ya uchaguzi mkuu Zanzibar yamefutwa ambapo moja ya sababu za kufutwa kwa matokeo hayo ni pamoja na ukiukwaji wa taratibu na sheria ikiwemo Mgombea wa C.U.F kujitangazia matokeo. Via AzamTV Unataka…
Baada ya kuhusishwa kuhama Man City kwa muda mrefu, hii ndio sababu inayomfanya Yaya Toure asiondoke
Stori za kiungo wa kimataifa wa Ivory Coast anayekipiga katika klabu ya Manchester City Yaya Toure kutokuwa na raha klabu hapo zimekuwa zikiingia katika headlines mara kwa mara, awali kulikuwa…
October 28.. hizi ni kura za urais Tanzania kutoka kwenye Majimbo 51.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote…
R Kelly karudi na mdundo mpya; ‘Switch Up’ pembeni Lil Wayne na Jeremih! – (Audio).
Baada ya R Kelly kuachia video ya Backyard Party akiwa na Snoop Dogg pamoja na Chance The Rapper, msanii huyo maarufu kama 'The King of R&B' amerudi tena kutupa nyingine…