Sasa ni zamu ya kuona idadi ya kura za Urais zilizopigwa na Mbeya, Tanga, Arusha, Singida, Tabora na kwengine.
Tume ya taifa ya Uchaguzi imeendelea kutangaza matokeo ya kura za Urais 2015 ambapo leo October 28 kwenye awamu ya kwanza imetangaza matokeo ya majimbo 51 na kufanya idadi ya…
Prince William katoa medali ya heshima kwa Frank Lampard (+Pichaz)
Kiungo wa kimataifa wa zamani wa Uingereza na klabu ya Chelsea ya Uingereza Frank Lampard ambaye kwa sasa yupo katika klabu ya New York City inayoshiriki Ligi Kuu Marekani (MLS), ameingia katika headlines…
Majina ya Wabunge zaidi ya 40 waliothibitishwa kushinda uchaguzi mkuu 2015.
Tunaendelea kuzipata updates kila wakati kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC kuhusu matokeo ya Kura za Wagombea Urais kwenye uchaguzi uliofanyika October 25 2015 Tanzania. Ripoti za matokeo ya…
Baada ya mbunge wa CCM kutangazwa mshindi Nyamagana Mwanza, Wenje ameyaongea haya mbele ya Waandishi leo
Jimbo la Nyamagana Mwanza ambalo lilikuwa chini ya mbuge Ezekiel Wenje lipo kwenye headlines sasa hivi ambapo matokeo ya uchaguzi mkuu 2015 Stanslaus Mabula aliyekua Meya wa Mwanza, yamemtangaza mshindi.…
Ratiba ya mechi za Ligi Kuu Tanzania bara October 28 na 29, msimamo wa Ligi na wafungaji magoli…
Ligi Kuu soka Tanzania bara inaendelea tena kwa michezo kadhaa kupigwa siku ya Jumatano ya October 28 na Alhamisi ya October 29. Ligi hiyo inaendelea kwa michezo kadhaa kupigwa katika…
Baada ya promota wa Mayweather kutangaza kuwa bondia huyo kastaafu, Mayweather kwenye headlines na gari la kifahari
Bondia mwenye rekodi ya kutopigwa Floyd Mayweather bado jina lake linatumika kupamba headlines mbalimbali katika mitandao mbalimbali duniani. Stori kutoka kwa promota wa bondia huyo zilizotoka October 26 ni kuwa…
Matokeo ya kura za Urais za majimbo yote yaliyotangazwa na tume Oct 27 mchana.
Hii ni list tu ya majimbo 7, mengine naendelea kukuandikia hapa kwenye millardayo.com mtu wangu hivyo ukirefresh kila baada ya dakika 5 utakuta list nyingine nimeiandika chini ya hizi. MKOA…
Kwenye 255 leo ni Baba Levo na Udiwani Kigoma, Idris kufungiwa Instagram.. Kingwendu kashindwa? (Audio)
Kwenye list ya mastaa ambao wamejitosa kwenye Siasa 2015, Baba Levo nae yumo... Baba Levo ameshukuru sana kwa ushindi wake huku akisema kwamba japo kashinda na anakuwa Diwani Kigoma mjini…
Blac Chyna na Future ni wapenzi..? Picha hii inaweza kuwa uthibitisho wa uhusiano wao!
Baada ya tetesi nyingi sana kusambaa kuhusu mpenzi wa zamani wa Ciara, Future na aliyewahi kuwa mpenzi wa zamani wa Tyga, Blac Chyna kuwa ni wapenzi, sasa hivi inaonekana wazi…
Maneno ya mchekeshaji Kingwendu baada ya kushindwa Ubunge Kisarawe… (+Audio)
Mwigizaji Kingwendu ni miongoni mwa mastaa wa Tanzania ambao walichukua headlines za kugombea ubunge kwenye uchaguzi mkuu 2015 ambapo wengine ni pamoja na Afande Sele, Professor Jay na Mwigizaji Frank. Mwigizaji/Mchekeshaji Kingwendu hakufanikiwa kushinda…