Utapenda kuiona ‘Know Me’, mdundo mpya kutoka kwa Wale! – (Video).
Msanii kutoka kwenye lebo ya Maybach Music Group (MMG), Wale anaziandika headlines za leo kwenye kurasa za burudani, baada ya kuzindua nyimbo nne kwenye kipindi cha The Breakfast Club kwenye…
CHADEMA, CCM nusu kwa nusu, Lowassa na bandari Tanga, Baa na uchaguzi? Hukumu mita 200 leo! (Audio)
Good Morning mtu wangu leo ni Alhamisi 22 October 2015, na kama kawaida lazima asubuhi ianze na uchambuzi wa magazeti @CloudsFM. Kama zilikupita na hukuzisikia zote unaweza ukacheki na hizi…
Magazeti ya Tanzania leo October 22, 2015 yameamka na hizi kwenye Udaku, Michezo na hardnews
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Alhamisi Octoba 22, 2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews,…
Full Time ya PSG Vs Real Madrid na matokeo ya mechi nyingine za Ligi ya Mabingwa Ulaya October 21 (+Video)
Usiku wa October 21 michezo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya iliendelea tena kwa michezo nane kupigwa katika viwanja mbalimbali barani Ulaya. Usiku wa October 21 ilipigwa michezo nane kutoka katika…
Ukweli kuhusu milipuko iliyokutwa ndani ya gari la Mgombea Ubunge (Chadema) taarifa kamili iko hapa…
Mwanzoni mwa wiki hii kuna taarifa zilienea katika mitandao ya kijamii kwamba gari la Mgombea ubunge kupitia chadema Musoma Vicent Nyerere lilikutwa na milipuko wakati akifanya mkutano wa hadhara katika…
Shauri la kukaa mita 200 baada ya kupiga kura, wakili Peter Kibatala kazungumza..(Audio)
Ni headlines baada ya headlines inawezekana ulikuwa na maswali mengi kuhusiana na kauli ya tume ya Uchaguzi kuhusu kusimama mita 200 pale unapomaliza kupiga kura siku ya tarehe 25, 2015.…
Real Madrid kwenye headlines ya vilabu tajiri barani Ulaya …
Shirikisho la soka barani Ulaya UEFA October 21 wametangaza vilabu tajiri barani Ulaya baada ya kufanya utafiti kuhusu utajiri wa vilabu wanachama wa shirikisho hilo. October 21 mitandao kadhaa ya…
Full Time ya Tanzania Prisons Vs Simba October 21 (+Pichaz)
Klabu ya Simba ambayo Jumamosi October 17 ilicheza na klabu ya Mbeya City ya jijini Mbeya katika mchezo ambao Simba hawakuwa na rekodi nzuri dhidi ya Mbeya City kwani ilikuwa…
Full Time ya Yanga Vs Toto African na matokeo ya mechi nyingine za Ligi Kuu October 21 (+Pichaz)
Ligi Kuu Tanzania bara imeendelea tena leo Otcober 21 kwa timu 10 kushuka uwanjani kuwania point tatu muhimu, point ambazo zitaisadia kila timu kuwa katika nafasi nzuri katika msimamo wa…
Kwenye U Heard leo ni Soudy Brown na Barakah Da Prince kuhusu mapenzi.. (Audio)
Soudy Brown leo yuko na story ya Barakah Da Prince, ana uhusiano wa kimapenzi na mwanamke yoyote? Barakah amesema hana uhusiano wa kimapenzi na mwanamke yoyote, aliwahi kuwa na uhusiano…