Habari za Mastaa

Utapenda kuiona ‘Know Me’, mdundo mpya kutoka kwa Wale! – (Video).

on

Msanii kutoka kwenye lebo ya Maybach Music Group (MMG), Wale anaziandika headlines za leo kwenye kurasa za burudani, baada ya  kuzindua nyimbo nne kwenye kipindi cha The Breakfast Club kwenye radio ya Power 105.1, Marekani msanii huyo ameamua aisogeze kwetu video ya moja kati ya nyimbo hizo nne.

waale2

Wimbo unaitwa “Know Me” na ndani ameshirikishwa Skeme… Kama bado video hiyo haijakufikia basi feel free kuicheki video hiyo hapa chini mtu wangu.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter,FB,Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments