Full Time ya Yanga Vs Toto African na matokeo ya mechi nyingine za Ligi Kuu October 21 (+Pichaz)
Ligi Kuu Tanzania bara imeendelea tena leo Otcober 21 kwa timu 10 kushuka uwanjani kuwania point tatu muhimu, point ambazo zitaisadia kila timu kuwa katika nafasi nzuri katika msimamo wa…
Kwenye U Heard leo ni Soudy Brown na Barakah Da Prince kuhusu mapenzi.. (Audio)
Soudy Brown leo yuko na story ya Barakah Da Prince, ana uhusiano wa kimapenzi na mwanamke yoyote? Barakah amesema hana uhusiano wa kimapenzi na mwanamke yoyote, aliwahi kuwa na uhusiano…
R. Kelly anaisogeza kwetu official video ya mdundo wake mpya; ‘Backyard Party’ – (Video).
Mara ya mwisho tumemsikia R. Kelly ilikuwa miezi michache iliyopita ambapo msanii huyo wa R&B aliachia single yake ya 'Backyard Party' wimbo uliofanya vizuri kwenye chati mbalimbali za muziki Marekani...…
Collabo mpya ni Barnaba Feat. Jose Chameleone !! Show za WaTZ Marekani je? Story kwenye Audio (#255)
Najua kila mmoja ambaye amekuwa akiisikiliza Bongo Fleva kwa kitambo hivi atakuwa ameshuhudia mastaa kibao wakivuka border na kupiga show nje ya TZ, kama Marekani na kwingineko.. kwani Muziki wa…
Hekaheka na stori ya mtoto mdogo aliyeuzwa laki moja Dar.. (+Audio)
Najua kuna wafuatiliaji wa stori za Hekaheka kwenye show ya Leo Tena @Clouds FM... ya leo ni mwendelezo wa kisa cha siku nyingi ambacho kiliwahi kusikika kuhusu ishu ya mwanamke…
Hii ndio list ya Viwanja 10 vya Ndege vilivyo kwenye hali mbaya zaidi Duniani mwaka 2015
Usafiri salama zaidi namba moja Duniani ni Usafiri wa anga, YES.. lakini kuna umuhimu pia kujua Wasafiri wa anga wanachukuliaji mazingira ya huduma za usafiri pamoja na viwanja vya Ndege…
Mtoto aliyekamatwa na saa wakidhani ni bomu amekaribishwa Ikulu ya Obama.. Mipango ya shule?
Unamkumbuka Ahmed Mohamed mtoto kutoka Dallas, Texas Marekani aliyekamatwa na polisi baada ya kupeleka shule saa iliyodhaniwa kuwa ni bomu? Yes, Ahmed aliweka headlines nyingi sana Marekani na saa yake…
Magufuli na Dar, EAC na Tanzania, Pinda; ‘tujiandae kisaikolojia’, Masha Mahakamani tena? Kesi ya mita 200 je? (Audio)
Good Morning mtu wangu, uchambuzi wa magazeti @CloudsFm umekupita? kazi yangu ni kuhakikisha zile zote kubwa kwenye kuperuzi na kudadis hazikupiti, lakini kama ilikupita na hukuisikia basi karibu ucheki na…
Magazeti ya Tanzania leo October 21, 2015 yameamka na hizi kwenye Udaku, Michezo na hardnews
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumatano Octoba 21, 2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews,…
Full Time ya Arsenal Vs FC Bayern Munich na matokeo ya mechi nyingine za UEFA October 20 (+Video)
Michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya imeendelea leo October 20 kwa michezo kadhaa kupigwa katika viwanja mbalimbali barani Ulaya. Miongoni mwa mchezo uliyovuta hisia za mashabiki wengi wa soka ni…