Wakala wa Raheem Sterling ametaja kosa alilolifanya Brendan Rodgers hadi Raheem Sterling akahama Liverpol…
Bado zile stori za Raheem Sterling kuhama Liverpool na kujiunga na Manchester City pamoja na kufukuzwa kazi kwa aliyekuwa kocha wa timu hiyo Brendan Rodgers zinazidi kuchukua headlines. Wakala wa…
Picha za makazi mapya ya Beckham na familia yake ndani ya Uingereza..
Familia ya staa mwanamitindo aliyestaafu Soka, David Robert Joseph Beckham pamoja na mkewe ambaye ni staa wa mitindo pia, Victoria Caroline Beckham ni mastaa ambao wana umaarufu na heshima kubwa sana…
Shauri la kukaa mita 200 baada ya kupiga kura limefika Mahakama Kuu Dar….
Ni headlines baada ya headlines inawezekana ulikuwa na maswali mengi kuhusiana na kauli ya tume ya Uchaguzi kuhusu kusimama mita 200 pale unapomaliza kupiga kura siku ya tarehe 25, 2015.…
Kwa suala hili Pep Guardiola hawaungi mkona Sir Alex Ferguson na Arsene Wenger…
Kocha wa klabu ya FC Bayern Munich ya Ujerumani Pep Guardiola ambaye leo October 20 timu yake itacheza na Arsenal ya Uingereza katika uwanja wa Emirates, kauli yake imeingia katika…
Video ya Tembo walivyomzuia jamaa na bodaboda yake kukatisha barabarani… (Video)
Wako wanyama kama Simba au Chui ukikutana nao barabarani lazima upate hofu, lakini kama unakatisha zako halafu ukakutana na Tembo unaweza kumchukulia poa, ukamkwepa tu pembeni halafu ukaendelea na safari…
Dr. Dre kwenye headlines, kufikishwa mahakamani na mfanyakazi wake wa ndani!
Rapper na producer maarufu Marekani, Dr. Dre ameiingia kwenye headlines baada ya mtandao wa The NewYork Daily News kuripoti kuwa mfanyakazi wa Dr. Dre mwenye jina Raquel Sagustume kufikisha Mahakamani…
Staa wa zamani wa klabu ya Liverpool Djibril Cisse akubali yaishe….
Mshambuliaji wa zamani wa kimataifa wa Ufaransa aliyekuwa anaichezea klabu ya Liverpool ya Uingereza Djibril Cisse October 20 ameingia kwenye headlines baada ya kufanya maamuzi ambayo wanasoka wengi huchukua muda kuyafanya. Djibril…
Bado siku 5…..Ninayo majibu kuhusu kitambulisho cha kupigia kura kikipotea nini kifanyike?, yako hapa
Tukiwa bado tuko kwenye headlines za Uchaguzi zimebaki siku 5 za mtanzania kufanya maamuzi ya kumchagua kiongozi wake, sasa leo nakusogezea hii stori kutokea Tume ya Uchaguzi kuhusu kitambulisho cha…
Shilole anaongeza tattoo nyingine ya Nuh? Huyu hapa kwenye U Heard (+Audio)
Shilole aka Shishi Baby yuko tena kwenye U Heard... Soudy Brown amemcheki na story ni kuhusu tattoo, ana mpango wa kuongeza nyingine? Nuh ana tattoo ya Shilole na Shishi nae…
Baada ya kutangazwa kuwa mchezaji bora wa mwezi wa Simba, Hamis Kiiza katwaa tuzo nyingine..
Baada ya klabu yake ya Simba kumtangaza kuwa mchezaji bora wa mwezi September siku kadhaa zilizopita Hamis Kiiza ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo nyingine tena. Kiiza ambaye awali kulikuwa na stori…