#GoodNews video ya Shaa ‘Sugua Gaga’ yagonga idadi hii ya watazamaji YouTUBE!
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Shaa anaziandika headlines za leo kwenye kurasa za burudani! Tarehe 22 February mwaka 2014 msanii huyo wa Bongo Fleva aliachia single yake ya 'Sugua…
Mabeste na tattoo zake.. Damian Soul na Nameless? waliohack Instagram ya Ben Pol… #255 (Audio)
Nameless ni mmoja ya mastaa ambao wamewahi kujizolea Tuzo kibao sana na pia ana jina kubwa kwenye list ya mastaa ambao wanawakilisha vizuri Kenya, unajua kuna collabo inakuja ya yeye…
Ratiba za mechi za Ligi ya Mabingwa Ulaya zitakazochezwa Jumanne ya Oct 20 na Jumatano ya Oct 21
Bado michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya inaendelea leo October 20 na kesho October 21 kwa michezo 16 kupigwa katika viwanja tofauti tofauti barani Ulaya. Miongoni mwa michezo itakayochezwa Jumanne ya…
Kama ulidhani Chris Brown ndiye mwenye tattoo kubwa kichwani, subiri uione hii ya YG!
Ukiniambia nitaje wasanii watano wa Marekani wenye tattoo kupita kiasi mwilini, kwenye orodha yangu majina haya hayatokosekana; Lil Wayne, Birdman, Chris Brown, Tyga na Wiz Khalifa. Miezi michache iliyopita nilikusogezea…
List wa Wachezaji 23 wanaowania Tuzo ya Ballon d’Or hii hapa, Messi, Ronaldo wamerudi tena !!
Cristiano Ronaldo amerudi tena kwenye list ya Wachezaji 23 waliotajwa kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa Soka Duniani, Ballon d’Or ambayo itatolewa January 11 2016 Jijini Zurich, Switzerland. Ni ndani ya Jiji…
#GoodNews single ya Belle 9; ‘Shauri zao’ imetambulishwa kwa mara ya kwanza Trace Urban!
Inafurahisha kuona muziki wa Tanzania ukiwakilishwa vizuri na wasanii wetu, wasanii wengi siku hizi wanapigania kupeleka muziki wa Bongo Fleva kwenye soko la kimataifa na jitihada za wasanii wetu kwenda…
Oscar Pistorius kwenye headlines, sasa kutumikia kifungo cha nyumbani! + (Video).
Mwanariadha maarufu kutoka South Africa Oscar Pistorius, aliingia kwenye headlines baada ya kesi ya yeye kumpiga risasi mpenzi wake Reeva Steenkamp siku ya wapendanao mwaka 2013 kushika uzito mkubwa nchini…
Rais JK aiaga Ikulu, ahadi za Magufuli?, Lowassa Tunduma + kesi ya mita 200 Mahakamani leo? (Audio)
Ni Jumanne 20 October 2015 na kama kawaida lazima asubuhi ianze na uchambuzi wa magazeti @CloudsFM. Ninazo zote kubwa za leo kwenye kuperuzi na kudadis, kama zilikupita unaweza ukacheki na…
Utapenda kuiona official video ya mdundo wa Drake; “Hotline Bling”! – (Video).
Drake kwenye headlines za burudani... baada ya kuachia single yake ya "Hotline Bling" wasanii wengi wa muziki Marekani wamekuwa wakionyesha support yao juu ya single hiyo kwa kufanya remix tofauti…
Magazeti ya Tanzania leo October 20, 2015 yameamka na hizi kwenye Udaku, Michezo na hardnews
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumanne Octoba 20, 2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews,…