Duh! Video mpya ya Vanessa Mdee ‘Never Ever’ imegharimu kiasi hiki…!
Msanii wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee ni miongoni wa wasanii wa kike kwenye game ya muziki Tanzania ambao wanajituma sana kufanikisha malengo ya kutengeneza muziki mzuri... siku chache zilizopita Vanessa…
Bado siku 9….. hizi ni picha za CCM na UKAWA ndani ya saa 24 zilizopita.
Kwenye hizi siku chache zilizobaki kabla ya Watanzania kupiga kura, headlines za siasa bado ni nzito kila mahali ambapo kwenye headlines za saa 24 zilizopita hizi ndio picha za matukio yenyewe…
Magazeti ya Tanzania leo October 16, 2015 yameamka na hizi kwenye Udaku, Michezo na hardnews
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Ijumaa Octoba 16, 2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews,…
Dyna Nyange anasema yeye ni team UKAWA lakini hii iwafikie Watanzania wote.
Ni mwimbaji wa bongofleva Dayna Nyange ambaye ameungana na mastaa wengine wa Tanzania kama rapper Nay wa Mitego, Timbulo, Bob Juniour, Walter Chilambo, waigizaji Shamsa Ford na Jackline Wolper kwenye kampeni…
Tweet ya mwisho ya January Makamba kuhusu Helikopta za CCM na ajali iliyotokea.
Usiku wa kuamkia leo October 16 2015 headlines za siasa Tanzania zimetawaliwa na ajali ya Helikopta ambayo imeanguka na kulipuka kwenye mbuga ya Wanyama ya Selous ambapo Waziri wa maliasili na utalii Lazaro Nyalandu…
Helikopta imeanguka na kulipuka… Waziri amtaja Mbunge wa CCM aliyekuwemo.
Usiku wa October 15 2015 zinatoka taarifa kupitia Waziri wa maliasili na utalii Lazaro Nyalandu kuhusu ajali ya helikopta iliyotokea kwenye mbuga ya wanyama ya Selous ikiaminika kuwa na Wanasiasa ndani…
Pichaz za Yaya Toure, Fabregas, Mephis Depay na Zlatan enzi zao utotoni.
Kama kawaida mtu wangu wa nguvu kila siku ya Alhamisi huwa nakuletea TBT, yaani pichaz za wakali wako wa soka hususani picha zao wakati wapo vijana wadogo au watoto, najua…
Sentensi 11 za CHADEMA kuhusu kulinda kura zao na makosa ya Daftari la Wapigakura.. (+Picha)
Zimebaki siku kumi kuifikia October 25 2015 siku ambayo Watanzania watafanya maamuzi ya kuchagua Viongozi wao kwenye ngazi za Udiwani, Wabunge pamoja na Rais wa Jamhuri ya Muungano… stori zinazohusu…
Siku Rihanna na Karrueche Tran walikutana uso kwa uso ilikuaje? Chris Brown mwenyewe anaongea (+audio)
Kuna kipindi Chris Brown aliweka headlines za kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na wanaweke wawili, Rihanna na Karrueche Tran kwa wakati mmoja, na mwishoni wa mwaka 2012 msanii huyo alionekena…
Mwanasiasa mwingine amefariki Tanzania, ni Emmanuel Makaidi wa NLD.
October 15 2015 moja ya taarifa kubwa za siku ni kifo cha mwenyekiti mwenza wa UKAWA, ambaye alikua mwenyekiti wa chama cha NLD, Emmanuel Makaidi kufariki dunia akiwa hospitalini huko…