List ya Washindi wote wa Tuzo za AFRIMMA 2015 Marekani, Vee Money, Ommy Dimpoz na Diamond nao wamo !!
Good news kwa Tanzania... Yes, hii ni kwenye burudani kwa mara nyingine tena, Bongo Fleva ni muziki ambao umefika mbali kutokana na juhudi za watu wengi walioamua kuweka ngumu nyingi…
Maneno ya Barack Obama kwa Rapper Kanye West kuhusu kuwania Urais 2020..(Video)
Hivi karibuni rapper wa Marekani Kanye West alitangaza nia yake ya kutaka kuingia ikulu ya Marekani katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwaka 2020. Kanye alitangaza nia yake hiyo wakati wa tuzo…
Mastaa wengine walioingia kwenye list ya kuwa na watoto wengi..Pichaz
Siku hizi kumekuwa na Taasisi zinazohamasisha watu kufanya uzazi wa mpango.. wapo wanaofuata utaratibu lakini wengine hawafuati utaratibu huo kabisa. Wapo wanaoamini kwamba nchi zilizoendelea wanafatilia sana ishu ya uzazi…
Magazeti ya Tanzania Octoba 11, 2015 yameamka na hizi kwenye Michezo na hardnews
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumapili Octoba 11, 2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Michezo na Hardnews, zote…
Kabla ya kupata mafanikio katika soka, hizi ni kazi za kwanza kufanya mastaa hawa Di Maria, Zlatan, Ribery na Sanchez
Katika maisha kuna mambo mengi ya kupitia hadi kufikia mafanikio mara nyingi au kwa asilimia kubwa wengi waliofanikiwa katika maisha walihangaika kufikia kilele hicho cha mafanikio kiasi hata cha kufikia…
Alichokisema Peter Cech kuhusu mwenendo wa timu yake ya zamani ya Chelsea…
Golikipa wa klabu ya Arsenal Peter Cech ambaye kwa sasa anatajwa kuwa ni golikipa bora Uingereza kwa mujibu wa takimu fupi za hivi karibuni kutoka katika mtandao wa metro.co.uk. Takwimu…
Du!!! kabla ya kuanza kuifundisha Liverpool, Jurgen Klopp kaanza kuiingizia mkwanja Liverpool (+Picha)
Ikiwa ni siku moja imepita toka klabu ya Liverpool wamtambulishe kocha wao mpya Jurgen Klopp mbele ya waandishi wa habari na kuanza kufanya mahojiano na kocha huyo wa Kijerumani, mengi yaliandikwa ila…
Baada ya Wenger kuponda uamuzi wa Liverpool, Ferguson azungumzia uwezo wa Jurgen Klopp
Stori bado katika headlines za michezo Uingereza ni kuhusu Liverpool kumtimua Brendan Rodgers na kumpa nafasi kocha wa Kijerumani Jurgen Klopp ambaye anatajwa kuwa kocha wa 20 aliyewahi kujiunga na klabu hiyo na…
Pichaz nyingine mpaka alipotangazwa mshindi wa Bongo Star Search 2015…
Historia imeandikwa kwa mara nyingine Dar es Salaam usiku wa kuamkia October 10 2015, hii ni siku nzuri na ya kumbukumbu kubwa kwenye Burudani Tanzania, Kayumba Juma anaziandika Headlines kwenye…
Huu ndio muonekano wa cover ya Album mpya ya Justin Bieber; ‘Purpose’.
Siku chache zilizopita Justin Bieber alitangaza ujio wa album yake mpya 'Purpose' kupitia page yake ya Twitter. Kwa sasa msanii huyo mwenye miaka 21 anaendelea kuweka headlines kwenye chati mbalimbali…