Mambo ni moto mtu wangu !! Hili ndio chimbo tutakaposhuhudia Mshindi wa BSS 2015 leo.. (Pichaz)
Zimebaki saa chache kushuhudia Fainali za Mashindano ya Bongo Star Search 2015… umepata ticket yako??? Kama jibu ni YES basi good news ikufikie kwamba kila kitu kimekamilika tayari, nimegusa nje…
Jina la Gnako limetumika kwenye utapeli, Maneno yake kwa Soudy Brown ni haya..#Uheard Audio
Leo Soudy Brown kapiga stori na mmoja wa mashabiki wa kundi la Weusi Deo ambaye amedai kutapeliwa na mmoja wa wasanii wa kundi hilo Gnako. Amesema anafahamu Weusi wanafanya biashara…
Taarifa za Rais Kikwete kupewa tuzo ya heshima na Taswa na wanamichezo wengine ipo hapa
Ni kawaida kwa siku za hivi karibuni kuona watu fulani kutoka tasnia fulani kupewa tuzo za heshima kwa kutambua mchango wao katika sekta husika. Chama cha waandishi wa habari za…
Wema Sepetu na biashara ya vipodozi, Tuzo za AFRIMMA, kundi la Watengwa je?..#255 Audio
Wema Sepetu ni miongoni mwa mastaa wenye wafuasi wengi kwenye mitandao ya kijamii..leo kwenye 255 amezungumza kuanzisha biashara yake mpya ya mambo ya Urembo..amesema maisha ni kutafuta na hawezi kuridhika…
Haya ni maneno ya Idris Sultan kuhusu ujio wa TV Show yake mpya BET…!
Mshindi wa Big Brother Africa 2014 Idris Sultan anaziandika headlines kwenye kurasa za burudani... baada ya kuiwakilisha #255 vizuri kwenye shindano hilo kubwa la Africa, mafanikio mengi yamekuwa yakimfuata nyuma…
#RIP.. Mgombea Ubunge Arusha amefariki, kingine ni hiki >> Ugonjwa? Kampeni kusimama?, Mazishi?
October 09 2015 Tanzania inaguswa na taarifa nyingine ya Majonzi kwenye Siasa, ambapo Mgombea mwingine wa Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kwa Tiketi ya Chama cha ACT-Wazalendo, Estomih MALLAH…
Harmonize na historia ya safari yake kuelekea kwenye mafanikio…#Hekaheka Audio
Leo team ya Hekaheka wapo na msanii chipukizi kutoka WCB anaitwa Harmonize...kwenye hekaheka yake amesema wakati anaanza kazi ya muziki alishiriki show ya fiesta Mtwara lakini hakuweza kuperfom..akiwa njiani kwenda…
Ni FurahiDay na Ciara anauleta kwako mdundo wake mpya; ‘Paint It Black’- (Audio).
Ciara anaziandika headlines kwenye kurasa za burudani, baada ya kuachia hit single yake ya 'Dance like we're making love' msanii huyo amerudi tena na single nyingine mpya! Kame wewe ni…
Kamera za waandishi hazikuwa mbali kunasa tukio la kinyama kwa mama huyu mjamzito…Video
Tukio hili limetokea huko Texas,Marekani baada ya ugomvi kati ya mume na mke ambapo mama mwenye ujauzito wa miezi nane alijikuta akihatarisha maisha yake baada ya mume wake kumburuza kwa…
Safari ya mwisho ya Marehemu Mchungaji Mtikila kwenye mazishi yake Njombe…
Safari ya Marehemu Mchungaji Christopher Reuben Mtikila Duniani imefika mwisho baada ya ndugu, jamaa, marafiki na mamia ya watu kuongozana mpaka Kijiji cha Milo, Ludewa Mkoa wa Njombe ambapo yamefanyika Mazishi yake jana…