Hawa ndio Watanzania wawili waliotajwa na CNN kuwania Tuzo ya Wajasiriamali chini ya Miaka 23 Africa..
Kuna Tuzo zinaitwa ANZISHA AWARDS, nimezifahamu leo baada ya kukuta kuna majina wa Watanzania wawili ambao wametajwa kwenye vijana 12 waliotajwa kuwania Tuzo hizo mwaka 2015. Tuzo hizo zimeanzishwa kwa…
Mwendelezo wa issue ya msanii wa Rwanda na Director Nisher imefikia hapa…#Uheard
Baada ya jana yule msanii wa Rwanda Man Martin kulalamikia kutopewa ushirikiano na Director Nisher baada ya kutua nchini kwa ajili ya kufanya video yake leo inaendelea. Soudy Brown baada…
Nay wa Mitego na Bil Nas wana beef? kundi la Cental Zone, Jordan kaja na ‘Kama Ronaldo’..#255
Kuna tetesi Nay wa Mitego na Bil Nas walikuwa na beef..leo Producer Mr T touch kafunguka kwenye 255 na amesema beef yao ilitokana na maneno ya Nay kuwa Bil Nas hajafikia…
Hekaheka ya jirani kuwatishia wenzake kutaka kuwachinja imesikika leo…
Kwenye zile stori za Hekaheka leo Geah Habib aliitwa na wanaanchi wa Kivule wakidai kuna jirani yao amekuwa akiwanyanyasa na kutaka kuwachinja. Watu wengi wamekuwa wakilalamika, kwanza wamesema kuna kiwanja…
Huyu ndio Boss mpya wa Twitter kwa sasa..
July 01 2015 story ya Boss wa Twitter kujiuzulu ilichukua headlines kwenye Vyombo Vikubwa vya Habari pamoja na Mitandaoni pia, ambapo Boss wa wakati huo, CEO Dick Costolo alilazimishwa kujiuzulu kutokana…
Pale ambapo Rubani anafariki katikati ya Safari na ndege inalazimika kutua.. +Video
Dharura inaweza kutokea popote na wakati wowote, unaweza kupata picha hofu utakayokuwa nayo ikitokea mko katikati ya safari kwenye Ndege angani alafu Rubani anafariki !! Ndege ya American Airlines iliyokuwa imetoka Phoenix kwenda Boston…
Will Smith amerudi kwenye muziki, mipango yake ikoje? Changamoto anazozipata je? – (Video).
Will Smith aliwasuprise mashabiki wake wengi duniani wiki iliyopita alipoachia single yake ya kwanza 'Fiesta' baada ya kupotea kweye kurasa za burudani kwa zaidi ya miaka 10... na kwa muonekano…
Kingine kilichonifikia kuhusu hatma ya mwanariadha Oscar Pistorius…
Maisha ya mwanariadha maarufu Oscar Pistorius gerezani yameendelea kubaki njiapanda baada ya wasimamizi wa kesi hiyo kushindwa kufikia muafaka wa kumuondoa gerezani. Jana bodi inayosimamia kesi yake ilikutana kwa lengo…
Mipango mingine ya Bondia Manny Pacquiao ni yeye na Siasa, baada ya Ubunge anaingia na huku..
Jana jumatatu bondia maarufu duniani Manny Pacquiao aliweka wazi mikakati yake ya kuingia kwenye siasa baada ya kutangaza kuwania nafasi ya Useneta katika moja ya majimbo nchini kwake Ufilipino. Staa…
Mtikila kuagwa kesho, ACT Wazalendo & Dk. Slaa, TAKUKURU & rushwa baada ya Uchaguzi! – #PowerBreakfast.
Jumanne ya October 6 2015 imeanza na uchambuzi wa magazeti redioni @CloudsFM, jukumu langu kwako siku zote ni kuhakikisha zile zote kubwa kubwa za siku hazikupiti... kama hukuzisikia zote basi…