Sweden unafanya kazi saa sita tu?? Utafiti una majibu na wapo wanaofata huo utaratibu..
Nchi nyingi Duniani utaratibu wa saa za kazi kwa siku ni saa nane tu, asubuhi mpaka jioni... lakini zipo Kampuni au Mashirika binafsi ambayo yametengeneza utaratibu wake wa saa za…
Bad Boy Entertainment & Epic Records waungana kusambaza album za P Diddy!
CEO wa lebo ya Bad Boy Entertainment (BBE) P Diddy amekuwa miongoni wa mastaa wakubwa kwenye muziki ambao kwa kiasi kikubwa wamenufanikiwa sana kupitia biashara... kama wewe ni shabiki wa…
Utengenezaji wa ndege nyingine ya Boeing ulivyofanyika hapa..umechukua muda gani?..Video
Kampuni ya kutengeneza ndege ya Boeing wamekuja na ndege yao mpya aina ya 787-9 Dreamliner ambayo itamilikiwa na shirika la British Airways. Wakati wa utengenezaji wa ndege hiyo wametuonyesha video ya…
Jose Mourinho kufukuzwa Chelsea? huu ndio msimamo wa Chelsea baada ya matokeo mabovu ….
Mmiliki wa klabu ya Chelsea ya Uingereza raia wa Urusi Roman Abramovich tumezoea kuona akifukuza makocha kwa haraka zaidi endapo tu mwenendo wa timu yake utakuwa sio mzuri kwa kipindi…
Future na Blac Chyna ni wapenzi?! #Twitter inazungumza haya…
Siku hizi mitandao ya kijamii ina nguvu sana, tumeshuhudia wasanii wengi wakithibitisha mahusiano yao ya kimapenzi kupitia social networks kama Twitter na Instagram, siku hizi hii ndio imekuwa njia rahisi…
Hivi ndivyo Rihanna alivyoshuhudia Zlatan Ibrahimovic akiweka rekodi hii…
Siku moja baada ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutimiza miaka 34, mshambuliaji wa kimataifa wa Sweden na klabu ya Paris Saint Germain ya Ufaransa Zlatan Ibrahimović ameweka rekodi nyingine…
U Heard leo ni director Nisher na ishu ya msanii toka Rwanda, hii hapa kwa Soudy Brown… #Audio
Kwenye zile tetesi za Soudy Brown leo kakutana na msanii Man Martin kutoka Rwanda ambaye amesema amekuja kwa ajili ya kufanya video na director Nisher..amesema mpaka sasa hajampata licha ya…
Roberto kufanya collabo Bongo? Nay wa Mitego kavamiwa? ushindi wa T Tanzania je?..#255
Tanzania ilipata ugeni wa msanii kutoka Zambia Roberto aliyeimba ngoma ya 'Amarula' ambaye alikuja na kupiga show Mwanza..msanii Galaxy kutoka Tanzania amemshawishi Roberto wapige naye collabo moja..Galaxy amesema amepata connection nzuri ya kuweza…
Vanessa Mdee ana haya majibu kwenye sentensi tano kuhusu ujio wa mdundo wake mpya #NeverEver!
Ni hits baada ya hits mtu wangu... msanii wa muziki wa Bongo Flava Vanessa Mdee anaziandika headlines kwenye kurasa za burudani jumatatu hii, baada ya kuachia hit single yake 'Nobody…
Unapenda kuogelea? Karibu kwenye hii Swimming Pool inayoelea juujuu… (+Pichaz & Video)
Hii ni katikati ya Jiji la London Uingereza... Kama wewe ni mpenzi wa kuogelea au kwenda zako swimming na watu wako, unaweza kucheki na hii swimming pool iliyokaa kwenye muundo…