Magazeti ya Tanzania Octoba 2, 2015 yameamka na hizi kwenye Udaku, Michezo na hardnews
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Ijumaa Octoba 2, 2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews,…
Cristiano Ronaldo kujiunga Ligi Kuu Marekani? hii ni mipango ya klabu inayomuhitaji..
September 10 mwaka huu alinukuliwa Rais wa klabu ya Real Madrid ya Hispania Florentino Perez kuhusiana na stori za klabu ya PSG ya Ufaransa kuhitaji kumsajili Cristiano Ronaldo akitokea Real Madrid.…
Matokeo ya mechi ya Liverpool Vs FC Sion yapo hapa (+Pichaz&Video)
Oktoba 1 mechi za UEFA Europa ziliendelea kwa michezo kadhaa kupigwa katika viwanja mbalimbali barani Ulaya, kama ambavyo imezoeleka kwa mechi za klabu Bingwa Ulaya huchezwa kati kati ya wiki…
Neymar wa FC Barcelona kwenye headlines na gari ya milioni 600 (+Picha)
Hii imekuwa kawaida kwa wanasoka wengi barani Ulaya kupenda kununua magari ya kifahari kutokana na mahitaji yao lakini hii huchangiwa na mishahara yao mikubwa wanayolipwa na vilabu vyao. Mapema mwaka…
Nimekusogezea picha 22 za mkutano wa UKAWA katika jimbo la Kawe Dar es Salaam…
Toka tarehe 29 August ulipofanyika uzinduzi wa kampeni Ukawa bado wameendelea kusogea sehemu mbali mbali za kuwafikia wananchi na leo Octoba 1, 2015 ilikuwa ni zamu ya wakazi wa jimbo…
Baada ya kushuka mara kadhaa katika viwango vya FIFA, Tanzania yapanda kwa nafasi hizi…
Tanzania kwa miezi ya hivi karibuni ilitangazwa kushuka katika viwango vya FIFA kutokana na mfululizo wa matokeo mabovu katika mechi kadhaa, ikiwemo katika mechi za kuwania kufuzu kucheza michuano ya…
Omarion ataja jinsia ya mtoto wake wa pili anayemtarajia..
Mwimbaji wa R&B Omarion na girlfriend wake wa siku nyingi Apryl Jones wanatarajia kupata mtoto wa pili hivi karibuni. Wawili hao ambao ni wazazi wa mtoto mmoja wa kiume aitwaye Megaa…
Neymar kaingia kwenye matatizo tena na Serikali ya Brazil, safari hii na gari lake limekamatwa..
Staa wa Soka, mkali mwingine toka Brazil ambaye anachezea Klabu ya Barcelona hii sio taarifa nzuri kwake, wafatiliaji wa mambo wanasema inafanana kabisa na ishu ambayo aliwahi kuhusishwa nayo pia…
Patoranking kashirikishwa kwenye hii Video ya ‘Pretty Girl’ ya Yung Brown..
Hitmaker wa 'My woman, my Evething' Patoranking amerudi kwenye headlines za burudani baada ya kushirikishwa kwenye ngoma ya 'Pretty Girl' ya Yung Brown kutoka pande za Nigeria. Video hiyo imesimamiwa…
TBT pichaz za utoto za Ryan Giggs, Frank Lampard na Sergio Aguero zipo hapa mtu wangu…
Kama ambavyo tumezoea kuona mastaa wa tasnia mbalimbali siku ya Alhamisi hupendelea kuweka picha zao za zamani katika account zao za mitandao ya kijamii. Mtu wangu wa nguvu Alhamisi ya…