Wachina na rekodi za nguvu, safari hii wana hili Daraja lililotengenezwa kwa kioo juu ya Milima ..!! (+Pichaz)
Kutokana na ukuaji wa Teknolojia pamoja na kasi kubwa iliyopo Duniani kwenye soko la Ushindani na Ubunifu, kila siku tunaona ubunifu mkubwa sana ukigusa headlines za habari kubwa Duniani !!…
Mbowe na NEC, Magufuli na madereva, ACT Wazalendo kutishiwa maisha? Zitto na Kafulila je? (Audio)
Good Morning mtu wangu, uchambuzi wa magazeti @CloudsFM umekupita? Ninazo zile zote kubwa kubwa za leo kwenye kurasa za magazeti, baadhi zikiwa... Mbowe afichua mchezo chafu kati ya CCM na…
Magazeti 20 ya Tanzania leo September 28 yameamka na hizi kwenye Udaku, Michezo na hardnews!
September 28 2015 ninazo tayari stori kubwakubwa kwenye kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania >>> Udaku, Hardnews na Michezo. Jumla ya Magazeti 20 ya Tanzania tayari…
Baada ya kufanyiwa udhalilishaji nahodha wa Azam FC, Rais wa TFF kaandika haya..
Mchezo wa soka ni mchezo ambao hupendwa na watu wengi ila kinachoshangaza wachezaji wa timu zote mbili ucheza kwa bidii kiasi kwamba inaweza tokea chuki endapo mmoja kati yao atakuwa…
Baada ya kupoteza mechi nne, kuna dalili ya JKT Ruvu kufanya maamuzi haya magumu..
Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea September 27 kwa mechi mbili kupigwa , huu ukiwa ni muendelezo wa mechi za round ya nne kwa timu za Ligi Kuu. Msimu wa Ligi…
Swizz Beatz ameikubali ‘Nana’ ya Diamond Platnumz, amepost video mtoto wake alivyoicheza.. (+Video)
Rapper na producer wa muziki toka Marekani, Swizz Beatz ni kama midundo ya Afrika ameanza kuikubali sana sasahivi.. kuna siku alipost yeye pamoja na mpenzi wake, Alicia Keys vipisi vya…
Haya ndio matokeo ya mechi za Ligi Kuu Sept 27 Azam FC Vs Mbeya City na mechi ya Mkwakwani (+Pichaz)
Jumapili ya September 27 ni siku ambayo mechi za Ligi Kuu soka Tanzania bara zimeendelea kwa michezo miwili kupigwa Dar Es Salaam na mkoani Tanga. Mechi ambazo zimechezwa September 27…
Mwaka mmoja tangu kupotea wanafunzi Mexico, msimamo wa wazazi ni huu..Serikali je?
Tarehe kama ya leo Mexico iliingia kwenye headlines baada ya kuwepo na taarifa ya kupotea kwa wanafunzi 43 katika mji wa Iguala Kusini mwa nchi hiyo. Pamoja na kuwepo utata…
Hawakujali kuzungumziwa..uhusiano wa mastaa hawa umeendelea kudumu!!
Watu wengi huamini watu wengi maarufu hawawezi kukaa muda mrefu katika uhusiano wao wa kimapenzi kutokana na umaarufu walionao na kuchangia mahusiano yao kuvunjika. Pamoja na wengi kushindwa kuvumiliana na…
Mambo matano huenda yamekupita kuhusu Serena Williams…(Pichaz &Video)
Serena ameendelea kujipatia mafanikio makubwa zaidi kupitia mchezo wa tenis duniani. na ndiye mchezaji bora wa mchezo huo ambao umekuwa ukimuingizia mamilioani ya pesa. Serena amedumu katika mchezo huo kwa…