Kcee kaisogeza kwako Video ya ngoma yake mpya ‘AGBOMMA’…
Wakati Ngoma ya 'Love Boat' ya Kcee aliyomshirikisha Diamond Platnumz bado inaendelea kufanya vizuri katika Industry ya Muziki..staa huyo karudi tena kwenye headlines baaada ya kuachia video ya ngoma yake…
Magazeti ya Tanzania Septemba 27, 2015 yameamka na hizi kwenye Michezo na hardnews
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumapili Septemba 27, 2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Michezo na Hardnews, zote ziko…
Ninazo picha 28 kutoka kwenye show ya #KillFest Dar es Salaam…..
Ni Sept 26, 2015 ambapo mashabiki wa muziki wa Bongo Fleva walishuhudia Burudani ya nguvu kutoka kwa wasanii mbalimbali akiwemo, Ruby, Fid Q, Aika na Nahreel, Damian Soul, Barnaba na…
Ulishawahi kuona uwanja wa soka unaelea? Nimekutana na picha zake mtu wangu…
Kama hukuwahi kubahatika kutembelea Singapore basi Marina Bay ni moja kati ya sehemu ambazo unapaswa kutembelea kama utafanikiwa kufika Singapore. Marina Bay ni uwanja wa mpira wa miguu ambao unaelea kwenye maji, yaani…
Baada ya uchunguzi kufanyika, huu ni muda ambao Lionel Messi atakuwa nje ya Uwanja (+Pichaz&Video)
Mshambuliaji wa kimataifa wa Argentina na klabu ya FC Barcelona ya Hispania Lionel Messi ameingia katika headlines baada ya kushindwa kuendelea na mechi dhidi ya Las Palmas. Lionel Messi alilazimika kufanyiwa…
Mbowe alivyosindikizwa na Lowassa, Mbatia kwenye uzinduzi wa Kampeni za Ubunge Jimbo la HAI.. (+Pichaz)
Kampeni za Uchaguzi Mkuu 2015 zimeendelea Tanzania, leo nakusogezea hii kutoka Jimbo la Hai Mkoa wa Kilimanjaro.. Mbunge anayemaliza muda wake Freeman Mbowe amefika leo Jimboni kwake na kuzindua Kampeni…
Newcastle United Vs Chelsea pichaz na video ya magoli ninayo hapa…
Bado mechi za Ligi Kuu Uingereza zinaendelea weekend hii, Jumamosi ya September 26 zilichezwa mechi kadhaa ila moja kati ya hiyo ni mechi kati ya Newcastle United dhidi ya Chelsea mechi…
Matokeo ya mechi ya Simba Vs Yanga yapo hapa pamoja na mechi nyingine za Ligi Kuu Sept 26 (+Pichaz)
Jumamosi ya September 26 ni siku ambayo ilikuwa ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki na wapenzi wa soka Tanzania, kwani ndio siku ambayo tumepata nafasi ya kuona mechi ya kihistoria ya watani…
Aliwatukana polisi kupitia page yao ya Facebook… kilichofuata kijue hapa!
Kila nchi ina sheria zake, Sheria za Tanzania sio lazima ziwe Sheria kwenye nchi nyingine, ukweli huo ni sawa hata kwa baadhi ya vitendo... kwa mfano kutukana polisi Tanzania ni…
Fulltime: Manchester City vs Tottenham Hotspur (Pichaz+wafungaji)
Ligi kuu ya Uingereza Barclays Premier League imeendelea tena jumamosi ya leo tarehe 29, September - mchezo wa kwanza siku ya leo umewakutanisha Manchester City dhidi ya Tottenham Hotspur. Mchezo…