Mfungo wa Ramadhan na utaratibu mpya Zanzibar, hukumu ya Freeman Mbowe, thamani ya shilingi ya TZ je? #Magazeti 18June (Audio)
Uchambuzi wa Stori kubwa Magazetini umefanyika kwenye #PowerBreakfast @CloudsFM, kwenye hizo iko stori ya January Makamba ambaye amesema CCM sio daladala la kudandia kwenda Ikulu.. Freeman Mbowe ahukumiwa kulipa fine ya Tshs. Milioni…
Tukio la Mauaji ndani ya Kanisa la watu weusi Marekani… (Picha & Video)
Wahusika wa masuala ya usalama wamesema huenda ni chuki na hasira tu za mtu binafsi zilizofanya kutokea kwa tukio hilo, watu walikuwa wanasali Emanuel AME Church, Charleston Marekani, akatokea mtu…
Ninazo tayari stori kutoka kwenye kurasa za Magazeti ya TZ leo JUNE 18 2015 kuanzia Udaku, Hardnews na Michezo
Ungana na mimi tena kwenye post hii ya Magazeti, post maalum ambayo huwepo hapa millardayo.com kila siku kwa ajili ya kuyasogeza karibu yako Magazeti mbalimbali ya Tanzania na habari zake…
Kwenye mitaa ya Dar es salaam leo watu na mishemishe zao !
Ni jiji lenye watu zaidi ya milioni nne na watu wanafanya kazi Jumapili mpaka Jumapili lakini Jumatatu mpaka Jumamosi ndio biashara zinafanyika sana na hata foleni imeongezeka siku za Jumamosi…
Stori kubwa tatu kutoka ITV>>> Ajali ya moto Dar, mwisho wa Matangazo ya Analogy Tanzania, Wabunge na bidhaa za nje.. (Audio)
Leo ndio mwisho wa Matangazo ya TV kwa Mfumo wa Analogy Tanzania Wakati TZ ikitangaza kuzima Mitambo ya kurushia Matangazo ya Analogy mwaka 2012 ilkuwa ishu ambayo watu wengi hawakukubaliana…
Ratiba ligi kuu ya England msimu ujao yote iko hapa mtu wangu..!!
Ratiba ya ligi kuu ya England tayari imetoka rasmi ambapo mabingwa wa ligi hiyo, Klabu ya Chelsea itaanza kutetea taji la ligi hiyo wakati itakapoikaribisha nyumbani Swansea siku ya August 8 2015. Manchester…
Ilibidi ahadi ya kuvua nguo mbele ya camera itimizwe baada ya ushindi wa Timu yake..
Kila shabiki huwa na hisia zake pindi timu anayoipenda inapokua ikicheza na mara nyingi tumeshuhudia watu wakitoa hadi mbalimbali endapo timu yake itaibuka na ushindi ama la. Kuna hii stori…
Hali si shwari ndani ya FIFA, kashfa zazidi kufichuliwa !!
Wapelelezi wanaofatilia kashfa ya rushwa inayohusu shirikisho la soka ulimwenguni FIFA wameahidi kufichua makubwa zaidi baada ya kugundua siri nzito zilizojificha kwenye mchakato wa kuchagua mwenyeji wa kombe la dunia.…
Picha za mjengo ambao ulikuwa wa J Lo, ukaingia sokoni na mteja kapatikana baada ya miaka mitano !!
Mjengo ambao Staa Jennifer Lopez aliuuza mwaka 2005 kwa Dola Milioni 13.9 uliingizwa tena sokoni kwa zaidi ya miaka mitano iliyopita mtu wangu.. Mjengo huo uliopo Miami Beach, Marekani una…
Arturo Vidal wa Juventus kapata ajali.. pamoja na hayo kaingia kwenye matatizo!
Nyota huyu anatarajiwa kupandishwa Mahakamani hivi karibuni kujibu mashtaka ya kuendesha gari akiwa ametumia kilevi na tayari amenyang'anywa leseni yake. Kiungo wa klabu ya Juventus na timu ya taifa ya…